Ni mara mia uwe maskini wa vitu lakini usiwe maskini wa mawazo! Watu wanahitaji kukombolewa fikra kwanza ndiyo hayo mengine yafuate! Kama wanakosa maji,umeme,nk nani wa kulaumiwa? Siyo serikali hii ambayo imefunga fikra watu kwa kuwadanganya kuwa mtu mmoja analeta maendeleo?Ni nadra sana kumsikia Lissu akizungumzia issue zinazohusu.maisha ya kila siku ya wanachi.kama shida ya maji safi ya uhakika, shida ya umeme, elimu.bora, matatizo ya wamachinga kufanya biashara, kodi.zinazoumiza biashara, bei za.mazao ya mkulima, Usafiri wa shida mijini na vijijini n.k.
Yeye yuko busy na mambo ya sheria, uchaguzi etc. Ni.kweli sheria ni muhimu lakini kuna immediate things vinavyowafanya wananchi wapay attention zaidi, na vitu hivyo.vinahusu ugali wao.