Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Duu!! Hivi ni hayo matatizo uliyoyataja ndio huleta shida kwa watu au hayo unayosema yupo busy ndio huleta hayo matatizo ya watu? Kweli akili ni nywele ila cc black people nywele zetu ni fupi! Sijui unausadifu msemo huu!!
Hata huko kwenye nchi zenye katiba bora na sheria nzuri za uchaguzi, siasa bado wanafanyia kwenye masuala yanayogusa maisha ya kila siku. Au hujawahi kusikia mijadala ya "Tax cuts for the rich", "universal medicare", "unemployment rate", "gas price" Huko marekani?.
Hii ikufundishe kuwa mwanasiasa makini "anapiga miguu yote", siyo kukomaa na mambo ya sheria tu na kuacha kushawishi uungwaji mkono wa umma kwa kutumia hoja za uchumi