Pre GE2025 Lissu: UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Duu!! Hivi ni hayo matatizo uliyoyataja ndio huleta shida kwa watu au hayo unayosema yupo busy ndio huleta hayo matatizo ya watu? Kweli akili ni nywele ila cc black people nywele zetu ni fupi! Sijui unausadifu msemo huu!!

Hata huko kwenye nchi zenye katiba bora na sheria nzuri za uchaguzi, siasa bado wanafanyia kwenye masuala yanayogusa maisha ya kila siku. Au hujawahi kusikia mijadala ya "Tax cuts for the rich", "universal medicare", "unemployment rate", "gas price" Huko marekani?.

Hii ikufundishe kuwa mwanasiasa makini "anapiga miguu yote", siyo kukomaa na mambo ya sheria tu na kuacha kushawishi uungwaji mkono wa umma kwa kutumia hoja za uchumi
 
if you want to end it, you Nip it in the bud!
 
tatizo wenye madaraka wanataka muone wanachofanya ni sahihi kwa njia yeyote ile
 
Naona mwaka umekosewa, badala ya kuandika tarehe 6 March, 2025 imeandikwa tarehe 6 March, 2024!
 
Bila Haki Uhuru ndiko wanatoa fursa za utekaji wizinwa kura na mengineyo hivyo vingine vinakuja kwa aina ya haki! Hao wanaozungunzia maji mbona huku Dar tuna wiki 2 hamna maji ? Tunanunua ndoo sh500 na sio safi!
Wqambie wenye kutunyanyapaa wawe wakweli tu!! Haki huinua Taifa!. Msikilize Askofu Bagonza ujumbe wa Kwaresima kama unaelewa utaelewana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…