Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Shetani aombwe msamahaa!!!! Ni kumkufuru Mungu.Hatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.
Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake, tunajua chuki yenu ilitengenezwa. Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nchi.
Tunakutakia kazi njema.
Wanajisahaulisha tuNa yale matusi na kejeli zake zote kwa JPM bado watu hawajasahau
Tena kwa kanda ya ziwa itakua ni kete nzuri sana ya kumvurugia pande zileWanajisahaulisha tu
Mwamba atawavuuga hadi wapoe
Kwa mara ya kwanza Mwaka huu naenda kupiga kura, nampgia lissuMimi mwenyewe naenda kufata kadi ya Chadema rasmi. Chini ya TAL atazoa wafuasi wengi sana. Tuko pamoja shemeji.
Lema😂Kwa hiyo kanda ya Kaskazini tumebaki na nani?
Umenena haswa. Yaani Lissu akifuata huu ushauri wako walao atamke tu kwamba nimemsamehe magufuli na yote niliyonena kwake ilikuwa siasa. Hakika tunamchagua 2025 kwa kishindoHatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.
Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake, tunajua chuki yenu ilitengenezwa. Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nchi.
Tunakutakia kazi njema.
Hawafanani ndugu acha propaganda , Lissu Hana ya Ibilisi.Mimi ni kati ya watu niliokuwa namkubali Lissu na Magufuli japo kura yangu nilimpa Lissu.
Hawa watu wawili wanafanana kwa vingi sana ila ndio hivyo tena hawakuwai kupatana na ugomvi wao hakuna hata mmoja wao anayeujua
Cc: Lucas Mwashambwa 🥴wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha
Risasi mlizompiga bado ziko mwilini, jiosheni wenyeweHatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.
Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake, tunajua chuki yenu ilitengenezwa. Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nchi.
Tunakutakia kazi njema.
Kwakweli huyu amebubujika kwa kwikwi kabisa
🙉🥴Kwakweli huyu amebubujika kwa kwikwi kabisa
Kwanza huujui ukweli na hata kama ingekua kweli hiyo ndo inaitwa MATURITY, ndio gharama ya kura zaidi ya milioni kumi za wafuasi wa JPM, uamuzi ni wake, azichukue ama azipige teke!!Mtu mliyetaka kumua kwa Risasi leo awaoshe mioyo...?!
Ama kweli kua uyaone.
Ndio nashangaaYaani mtu mliyetaka kumuua kama mnyama pori ndio aje kuomba radhi?
Hii logic ya namna gani?
Usiulize makofi polisi, unataka afafanue vipi mkuu? Hilo lipo wazi kabisaKwahiyo team jpm ndio yenye mamlaka ya kumpa Lisu I jmt!!?
Hebu fafanua vizuri mkuu!!
Unataka tuanze kuabudu na kukukumbuka mtu aliyekwisha kufa (Magufuli) na kuoza na kugeuka udongo..?Hatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.
Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake, tunajua chuki yenu ilitengenezwa. Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nchi.
Tunakutakia kazi njema.
Karibuni sana CDM wote mlioachwa njiani na Magufuli.Hatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.