PreGE2025 Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikuwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mkuu mbona kuna vitu mnashindwa kuvielewa kwa utimamu wa kawaida tu! Jaribu hata kutumia japo 20% ya utimamu.

Haina faida wala sio kwa manufaa kuweka clip ½ ½ kisha kutengeneza hoja kupitia clip hiyo fupi. Kuwa mpinzani katika siasa sio uaini na wala hakuna uaini wowote ambao Mhe. Mwenyekiti amezungumza bali ni vile mmeshaifanya kuwa kila dhambi wanafanya mashetani na majini pekee ukisahau kuwa kuna kauli kibao za wanaCCM zina ukakasi ila hatujawahi kuona ukizitengenezea mazingira ya uaini.
 
Huwezi kufungwa kwa kusema nitaiba! Mpaka uibe ndio unafungwa
Kweli kabsa! Hauwezi kufungwa kwa kusema utambaka mwanafunzi! Mpaka pale utakapombaka ndio utafungwa.
 
Mkaiambie mahakama sasa hapa mnatupigia kelele tu!..
Wewe unajua sheria gani na pass degree yako ya kubebwa?
Nenda kasome ile charge sheet uone kama kuna kitu cha kumtia hatiani Lissu kufuatana na sheria za nchi!
 
Unajua uasi wewe au unakula maharage ya juzi tu?
Nenda Polisi ukawaulize hivyo. Wasipokuelewa nenda mahakamani kawaeleweshe. Lissu ana siku ya nne mahabusu halafu kumbe wewe shabiki wake unajua hana kosa umekaa kimya huku Lissu anateseka tu!!!
 
Wewe tangu ID yako ilipotumiwa kimakosa na yule mzee m-dini Mohamed Said anayejifanya kujua historia ya Tanzania ndiyo nilijua kweli nyie mjahidina ni wanafiki. Ilikuwaje mzee Mohamed Said atumie ID yako kimakosa halafu akafuta ile post baada ya dakika chache? Wewe ni mtoto wake au ndugu yake au ndiye mwenyewe?
 
Nasikia ulikuwa Milembe RITZ, Lizaboni yuko wapi???
 
Vipi nduguzo huko Palestina, wana hali gani ewe Mpalestina wa Buza!!?
Lissu hajafanya kosa lolote, kwa mujibu wa sheria zetu.
 
Huyu ni yeye, angalia michango yake kule kwenye jukwaa la Kimataifa kuhusu vita ya Gaza.
 
Msianze logic, kesi iendelee ili Mwendesha Mashtaka athibitishe Uhaini huo. Ni rahisi tuu, prosecutor athibitishe mashitaka ya uhaini wa Lissu. 😁
 

Ritz. trison is an action not words. Sasa mwambieji Maza asubiri action ndiyo atake action. Anaogopa nini?
 
Chawa wote watakufa midomo wazi asema Bwana
 
Chawa yatakufa midomo wazi asema Bwana
 
So wewe na familia yako ndo mnafaa kuwa Rais sio, hivi mnafikili Urais ni cheo cha kubatisha au cha kuangukiwa kama embe kutoka juu sio, lissu ana sifa zote za kuwa Rais , wazee kama Warioba wanalitambua sembuse wewe kapuku unaetumia pikipiki za ccm kufanya boda
 
Kashitakiwa kwa UHAINI ama UASI,,Charges ina mshitaki kuwa ni Treason lakini kwenye maneno yakuthibitisha wanazungumzia UASI,,unajua kama UHAINI unamuhusu mtu ambaye pledge Allegiance ?
 
Huo ni mtego wa Sheria tu magangapaskalia@gmail.com kama offside kwenye football
 
Huo ni mtego wa Sheria tu magangapaskalia@gmail.com kama offside kwenye football
Huo ni uswahili wa uswahilini kabisa lisu anaoleta

Mtu anakutukana uswahilini mbele ya kafamnasi halafu ukimpeleka kwa mjumbe wa nyumba kumi anasema sikutukana

Lisu mswahili wa uswahilini hana maana yeyote na anayezingatia anayosema akili hana sababu akipelekwa mahakamani atayakana kazi kwa yule aliyeyatilia maanani kumbe msemaji Lisu akienda mahakamani anayakana
 
Akae tu NDANI....si EMBE...hatooza !!

#Tuupinge UASI dhidi ya DOLA!
 
Nenda Polisi ukawaulize hivyo. Wasipokuelewa nenda mahakamani kawaeleweshe. Lissu ana siku ya nne mahabusu halafu kumbe wewe shabiki wake unajua hana kosa umekaa kimya huku Lissu anateseka tu!!!
mkiwa na maslahi binafsi na chama chenu akili timamu, common sense huwatoka na kubaki kupigania ugali wenu huko mnakotumika kama misukule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…