Kubenea ndiyo kafanya several attemptSidhani,mbona amemjibu kwamba kafanya several attempts kumuona ila kazuiwa sababu sijui wajomba na ndugu wengine wameshaenda
OkKubenea ndiyo kafanya several attempt
Mfano Kubebene huyu si ni mwanaACT??Lissu anajua kuna watu wanaenda mahamani ili kuwa relevant tu, lakini washaacha njia kitambo.
Kubenea alirudi Chadema baada ta Lissu kumwangusha MboweMfano Kubebene huyu si ni mwanaACT??
Huyu kaacha njia kitambo, yeye pamoja na Boni Yai, na Martin Maranja(huyu hutasikia kapata kashikashi yoyote) walisoma upepo tu, wakaamua kuzuga hafi leo.Wakati Viongozi CDM wanazuiwa kutoka nnje ya nchi, Sugu daily yuko US mara Bongo. Wasiwasi Akili.