Lissu: Wakili msomi, mwanasiasa asiye kiongozi mzuri

Lissu: Wakili msomi, mwanasiasa asiye kiongozi mzuri

Ukweli ni kuwa Lisu ni mpambanaji bora, Ila Mbowe ni kiongozi bora.
 
Hivi hata kuandika hujui.
Ukiwndika jina likafuatiwa na : unajua maana yake??
 
Kumvaa kiongozi wa chama inataka kuwashawishi kwanza walau 60% ya kamati kuu ya chama.

Kama ni serikali 60% ya kamati kuu ya chama, 60% mawaziri wakiwemo wale seniors na 60% ya wabunge.

Sio rahisi hivyo kama Lissu anavyodhani, amejichimbia kaburi ndani ya CDM.

Hatoboi miaka 800 ameonyesha uchanga wake wa siasa; hakina Zitto walijipanga kwanza kushinda yeye.

Kama utaelewa sakata la kina Julianza Shonza, Mtela Mwambapa, Dr Kitila Mkumbo kufukuzwa CDM na wengineo.

Ni mwisho wa siasa kwa Lissu, too ambitious.
Uko kinadharia zaidi.
 
Back
Top Bottom