Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Absolutely, encouraging to idiots!Lissu amejiongeza mambo mengi sana kwenye sera yake, anagonga kuanzia uchumi, afya, mpaka utamaduni, this is very encouraging.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Absolutely, encouraging to idiots!Lissu amejiongeza mambo mengi sana kwenye sera yake, anagonga kuanzia uchumi, afya, mpaka utamaduni, this is very encouraging.
Hujamuelewa Lissu,rudia kusoma tena alichokiandika!Huoni anapendekeza tuwe kama hao uliowataja na tutoke hapa tulipo?Yaani kama ni kiswahili basi ndio kiwe lugha ya kufundishia,na kama ni kiingereza basi tuanze nacho toka chini!Kati ya siku Lissu ameongea ujinga na utumbo ni leo, yaani lugha iwe kigezo cha kutopata maendeleo, hapana watanzania sio wajinga kiasi hicho, swali lakujiuliza kwa nini kumekuwa na taaluma ya Tafsiri na Ukarimani. Lissu jipange upya nchi kama urusi, uchina nchi za falme za kiarabu wanatumia lugha zao na wako vizuri kiuchumi.
Kati ya siku Lissu ameongea ujinga na utumbo ni leo, yaani lugha iwe kigezo cha kutopata maendeleo, hapana watanzania sio wajinga kiasi hicho, swali lakujiuliza kwa nini kumekuwa na taaluma ya Tafsiri na Ukarimani. Lissu jipange upya nchi kama urusi, uchina nchi za falme za kiarabu wanatumia lugha zao na wako vizuri kiuchumi.
Mkuu sisi kayumba tumepata tabu sana huko vidato!Mambo ni kukariri tu!Nikiwa form 3 niliwahi kukariri page nzima kwenye kitabu ya mfumo wa umeng'enyaji chakula,sikuacha hata nukta!!Kwenye mtihani ukiniletea mimi napaste tu!Kasheshe niambie nikuelezee hatua kwa hatua!
Lugha ni changamoto sana,sio kwenye kuongea tu bali hata huko kwa wanafunzi wa sekondari!Wanaotoka medium huwa wana nafuu sana!
MATAGA bwana! China kwa taarifa imewekeza mno kwenye Kiingereza sasa.
Kwa taarifa yako tu ni kwamba, China ndiyo nchi inayoongoza kwa idadi ya watu watu wanaoongea Kiingereza kuliko nchi yoyote ile duniani.Tundu Lissu asitufanye wajinga kiasi hicho. China wanajua Kiingereza? Ujinga mtupu wala hatupotezi muda na mjiinga huyo, ajenda yetu kwa sasa ni kukiweka Kiswahili lugha ya Kwanza Afrika halafu yeye anatuletea upupu. We want to make Tanzania great nation, Kiswahili ni ajenda kuu.
Slavery Mentality!!
Akili za Lissu zimeshaathirika nafikiri Wabelgiji wamemfanya vibaya na baada ya kushindwa October 2020 anaweza kuwa kichaa!!
Hata wewe uelewa wako ni mdogo sana hujui kuwa kwa sasa sera yetu ni kukuza lugha yetu ya kiswahili ili iwe lugha ya Afrika na imeshaanza kukubalika sasa inatumika SADC!! Kweli wanasaccos hawajitambui
Sawa mkuu,ila kwa sasa kila mtu mwenye uwezo anamkimbiza mtoto wake medium schools!Hata wewe unaweza ukawa mchangiaji hapa ila mtoto wako yuko medium!Nikuambie tu mtoto mdogo ni rahisi kushika lugha kuliko akishakua!Shule za kayumba,lugha ya mawasiliano ni kiswahili,mtoto anapata wapi nafasi ya kufanyia mazoezi tenses anazojifunza darasani kwenye somo la kiingereza?Mtoto anaenda kuanza form 1,kuelewa somo inakuwa kazi!Masomo kama physics,chemistry,biology,geography inamlazimu awe anakariri sana kuliko kuelewa!Nimepita huko na kwakweli somo ambalo nilikuwa tayari kufanya mtihani wakati wowote ni hesabu maana haina maelezo!Mimi nadhani tatizo tulilonalo kwenye elimu yetu ni mitaala tu. Iboreshwe na iendane na uhalisia wa mazingira ya sasa na wakati tuliopo. Lugha sio tatizo. Lugha ni juhudi tu binafsi ya mtu mwenyewe kuweka bidii katika kujifunza.
Wanafunzi wakijizoesha kuzungumza kingereza wata master tu vizuri. Tatizo ni pale mtu anataka kuongea kama muingereza, hiyo haiwezekani. Na wengi hawajui kuongea hicho kingereza maana hata hawataki kujifunza kuongea. Wao wanataka waanze kukiongeaa wakiwa fluent..sasa utakuwa vipi fluent kabla hujachapia?
Ku master lugha yoyote ni kufanya practice mara kwa mara. Mfumo wetu wa elimu uko vizuri tu. Hapo kwenye mitaala ndio wabadilishe na kuboresha.
Mkuu nakubaliana na wewe sn naomba upite hapa kwenye huu uzi na ndipo utamuelewa Lissu alimaanisha nn, ofcz kwenye hilo suala namuunga mkono Lissu 100%, pita hapa kiongozi [emoji116][emoji116][emoji116]Sawa mkuu,ila kwa sasa kila mtu mwenye uwezo anamkimbiza mtoto wake medium schools!Hata wewe unaweza ukawa mchangiaji hapa ila mtoto wako yuko medium!Nikuambie tu mtoto mdogo ni rahisi kushika lugha kuliko akishakua!Shule za kayumba,lugha ya mawasiliano ni kiswahili,mtoto anapata wapi nafasi ya kufanyia mazoezi tenses anazojifunza darasani kwenye somo la kiingereza?Mtoto anaenda kuanza form 1,kuelewa somo inakuwa kazi!Masomo kama physics,chemistry,biology,geography inamlazimu awe anakariri sana kuliko kuelewa!Nimepita huko na kwakweli somo ambalo nilikuwa tayari kufanya mtihani wakati wowote ni hesabu maana haina maelezo!
Tuna changamoto kubwa sana ya lugha na hapo kwenye mitaala ulipotaja!Alichoshauri Lissu ni mjadala utakaokuja na majibu,sioni ubaya katika hilo!
Tatizo la lugha lipo na ni kubwa!
[emoji116][emoji116][emoji116]
Kiingereza na somo la computer ni muhimu kwa maendeleo ya elimu yetu Tanzania
Kiingereza na somo la computer ni muhimu kwa maendeleo ya elimu yetu Tanzania
[emoji23][emoji23][emoji23]dahMagufuli atapinga, na wakati huo huo hajui Kiswahili wala Kingereza.
KTundu Lissu amesema haya kuhusu lugha ya kufundishia:
Ukiniuliza mimi, honest opinion Nchi yetu haiwezi kuzungumza Kiingereza, hivyo tunahitaji kuwa na mjadala juu ya sera ya lugha, tusipokuwa na mjadala huu, hatufiki popote kwani language of instruction is everything.
Mimi ni Wakili, Majaji wengi hawajui kiingereza, ukienda Nchi za wenzetu huko Mtanzania akiongea unatamani kuingia uvunguni mwa meza, Kiingereza chetu ni kibaya, sio kwasababu hatuna akili ila ni kwasababu tumekosa Sera ya Lugha.
Tangu tumepata Uhuru tumekua na ndimi mbili kuhusiana na lugha na ndimi mbili ni hatari, ulimi mmoja tumesema Kiswahili ni lugha ya Taifa na tumeiendeleza kwelikweli, ulimi wa pili tumesema Kiswahili si lugha ya kufundishia.
Fikiria tu muda Mtu anaotumia kujifunza Kiingereza ajifunze na aelewe miaka 4 tu ya Sekondari anakuwa hajaelewa Kiingereza sawa sawa na anakwenda tena form 5 na 6 bado anakuwa vilevile, kwa kifupi Watu wetu hawajui Kiingereza.
Sawa mkuu,ila kwa sasa kila mtu mwenye uwezo anamkimbiza mtoto wake medium schools!Hata wewe unaweza ukawa mchangiaji hapa ila mtoto wako yuko medium!Nikuambie tu mtoto mdogo ni rahisi kushika lugha kuliko akishakua!Shule za kayumba,lugha ya mawasiliano ni kiswahili,mtoto anapata wapi nafasi ya kufanyia mazoezi tenses anazojifunza darasani kwenye somo la kiingereza?Mtoto anaenda kuanza form 1,kuelewa somo inakuwa kazi!Masomo kama physics,chemistry,biology,geography inamlazimu awe anakariri sana kuliko kuelewa!Nimepita huko na kwakweli somo ambalo nilikuwa tayari kufanya mtihani wakati wowote ni hesabu maana haina maelezo!
Tuna changamoto kubwa sana ya lugha na hapo kwenye mitaala ulipotaja!Alichoshauri Lissu ni mjadala utakaokuja na majibu,sioni ubaya katika hilo!
Tatizo la lugha lipo na ni kubwa!
Hahahah naona hata wewe umetumia lugha ya malkia kuipigia chapuo lugha ya kiswahili.Tundu Lissu asitufanye wajinga kiasi hicho. China wanajua Kiingereza? Ujinga mtupu wala hatupotezi muda na mjiinga huyo, ajenda yetu kwa sasa ni kukiweka Kiswahili lugha ya Kwanza Afrika halafu yeye anatuletea upupu. We want to make Tanzania great nation, Kiswahili ni ajenda kuu.
Hv unaelewa unachokiongeaTundu Lissu asitufanye wajinga kiasi hicho. China wanajua Kiingereza? Ujinga mtupu wala hatupotezi muda na mjiinga huyo, ajenda yetu kwa sasa ni kukiweka Kiswahili lugha ya Kwanza Afrika halafu yeye anatuletea upupu. We want to make Tanzania great nation, Kiswahili ni ajenda kuu.
Mimi nilisoma kijijini huko kasulu japo si mzawa wa huko!Ila darasani wakati mwingine mwalimu alikuwa akiona watoto hawaelewi anapiga hadi kiha(lugha ya asili) ili watoto waelewe!Ambao nilikuwa nasoma nao,hata kuwasiliana kwa kiswahili ilikuwa ngumu!So hayo ya mtoto wa darasa la saba kutomudu kuandika insha inawezekana kulingana na mazingira!Mkuu kwani kujifunza kingereza na kuweza kuongea inachukua muda gani? Ndio sembuse miaka 6 ya darasani..hapo kuna uzembe. Halafu kama lugha ndio shida katika kujifunza na kufundishia vipi kwa wale wanaofeli shule za msingi? Kuna ambao hadi wanamaliza darasa la sabu hata kuandika insha ya maneno mia moja ni kazi.. hao tatizo inakuwa ni nini wakati lugha ni hiyo ya kila siku na kila wakati kiswahili?
Shida ni mitaala ya elimu yetu ni mibovu..lugha kila mwenye nia n akiweke juhudi ataiweza tu vizuri. Kuna sehemu watu hata hawakumaliza darasa la saba vizuri waliishia njiani lakini wako mtaani huko na wazungu wanavunja kingereza vizuri tu ma-fly catchers sasa ndio sembuse mtu amekaa darasani miaka 6 aseme ana tatizo la lugha ya kiingeteza? Huo ni uzembe.