Lissu: Watoto wangu wote ni raia wa Marekani

Lissu: Watoto wangu wote ni raia wa Marekani

Issue si kufanya kazi, ni mtoto kuzaliwa. Kinachotakiwa ni CHETI CHA KUZALIWA, hata akizaliwa Airport tu ni raia. It's a shenzitype sort of
provision but kumbuka walitoka wapi. Mtamkumbuka Mbunge Nassari wa Arumeru? Naye alifukuzwa Ubunge na Supika Anna Makinda kwa kutohudhuria vikao? Alikuwa Marekani sponsorship ya chama chake CHADEMA, akahakikisha mama anatunga mimba na kuilea na kuzaa USA, patella mbali Ubunge. Hawo nao ni raia wa Marekani, sijui Nassari yuko wapi siku hizi? Hawa ndiyo jamaa zetu, wamefuta Uchaguzi 2025 watafanya vurugu.
.....potelea mbali Ubunge......
 
Uganda, DRC si Tanzania.
Lissu hawezi kuaminika na mtu yeyote Tanzania, na umaarufu wake kufanya siasa kupitia mtandao ni bure kabisa.

..wapinzani wakianza kushambuliwa kwa risasi mchana kweupe tunaweza kufanana na Uganda au Drc.

..Lissu, mkewe,na watoto, walikuwa wakiishi hapa Tanzania wamekimbia baada ya jaribio la kutaka kumuua.
 
Lissu hajawahi kufanya kazi Marekani.

..Lissu alikuwa Research Fellow World Resources Institute yenye makao makuu Washington DC miaka ya 90.

..watoto wake walizaliwa Marekani kipindi baba yao akifanya kazi huko.

Cc LGF
 
Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter.

Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi! Wanahamasisha watoto wetu waandamane, wapigwe rungu, wa kwao wako Trump Hotels wanakula baga na pizza.

Kwa nini Lissu hawaambii watoto wake wakane uraia wa Marekani ili wafaidi matunda ya anavyopigania? Je, Lissu sio mpango wa C.I.A katika taifa letu?

Muda utasema. Kwa sasa hana kazi ya kumuingizia kipato, lakini anatalii majiji ya Ulaya na Marekani akila maisha kwa fahari kuu, hatujui chanzo cha mapato yake.

Napiga picha ikulu yetu imejaa raia wa marekani, wanazurura tu katika bustani, wanajisaidia vyooni, na kuoga, wanaleta marafiki zao, ambao pengine no majasusi wanapandikiza kamera na vinasa sauti, wanachomoa mafaili na kuondoka nayo, na kuhaki computer zetu, au ku-recruit staff wa ikulu dhidi ya nchi yetu.
Wewe ni fala kweli kweli,kuikosoa Serikali ya Hovyo hovyo kabisa ya CCM ni kuwa wakala wa CIA?
Shenzi sana weye
 
..wapinzani wakianza kushambuliwa kwa risasi mchana kweupe tunaweza kufanana na Uganda au Drc.

..Lissu, mkewe,na watoto, walikuwa wakiishi hapa Tanzania wamekimbia baada ya jaribio la kutaka kumuua.
Aliyewapiga risasi wapinzani naye kaondoka, na anaumbuliwa kila kukicha.
We cant run away from our problems.
 
Kuna watu mna fikra za kimasikini hapo mleta mada usikute hata border Namanga hujawahi kufika.

George Weah ni Rais wa Liberia ila mwanae ana uraia wa Marekani na anachezea USMNT.

Hii kaliba ya kusema mtu akishakuwa na dual citizenship basi sio mzalendo ndio imelirudisha taifa nyuma miaka nenda rudi na sera hizi chakavu zimeponza taifa kupoteza wataalam na hata vipaji vingi sana.

Hujiulizi mfano kama hao nchi ingekuwa na uraia pacha hao watoto wangekuwa raia wa nchi gani na kukosa kwao uraia wa Tanzania kwa baba mtanzania huoni ni suala lililowazi kuwa ni Tatizo letu kama nchi?

Hata hiyo ikulu unayotamba kuwa CIA watakuja nikwambie wanaijua hata bila kuwepo hapo.

Tanzania kuingia kwenye ujamaa ilikuwa kaburi la uchumi na fikra
 
Wewe ni fala kweli kweli,kuikosoa Serikali ya Hovyo hovyo kabisa ya CCM ni kuwa wakala wa CIA?
Shenzi sana weye
Changia mada, acha matusi na tabia zako za uwanja wa fisi na tandale
 
Wanakusoma na kukucheka tuu, humu JF watu wengi sana na watoto wao ni raia wa Marekani, uraia na kupiga box ndio fursa zenyewe hizo, mawaziri wako pia watoto wao raia wa Marekani tunajua mpaka hospitali walizozaliwa anzia hapo kabla hujamrukia Lisu, pambana na hali yako
 
Tafuteni njia sahihi Mlambe Asali , kulalamika hakuwezi msaidia ntu yoyote ile bamutu batanzania
 
Sio LISU tu karibia watoto wa viongozi ni raia wa US UK CANADA halafu watoto wenu mkasomeshe Mlimani shule ya msingi.

Sem wakiwa hapa ni raia wa kawaida sana kama mlalahoi wa Tz unaweza tukanwa hata na mfagia barabara
 
Alaaaa! mliona kapona pona! sasa mnaanza za kuleta siyo?? lkn eti watoto wa jiwe wako Bongo! mbaya zaidi wanakula na kulalia vya marehemu baba yao! aliye mrenga Lissu kwa masasi! daaaa Dunia hii!

tena wale watoto wa Lissu wanasomea hela za UNHCR kudaadadadeki! mpaka wafikiea wanapo taka duuuu!
 
Mtoto wa George Weah anaichezea USA huko Qatar kwenye world cup, uzalendo wa mtu haupimwi kwq choices zake ila ile ideology anayoipigania.
 
Bado unawaamini wanasiasa wa bongo. Wote wachumia tumbo tu.

Mwendazake si alishapita hivi, kinachowakalisha huko ni kitu gani??
 
Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter.

Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi! Wanahamasisha watoto wetu waandamane, wapigwe rungu, wa kwao wako Trump Hotels wanakula baga na pizza.

Kwa nini Lissu hawaambii watoto wake wakane uraia wa Marekani ili wafaidi matunda ya anavyopigania? Je, Lissu sio mpango wa C.I.A katika taifa letu?

Muda utasema. Kwa sasa hana kazi ya kumuingizia kipato, lakini anatalii majiji ya Ulaya na Marekani akila maisha kwa fahari kuu, hatujui chanzo cha mapato yake.

Napiga picha ikulu yetu imejaa raia wa marekani, wanazurura tu katika bustani, wanajisaidia vyooni, na kuoga, wanaleta marafiki zao, ambao pengine no majasusi wanapandikiza kamera na vinasa sauti, wanachomoa mafaili na kuondoka nayo, na kuhaki computer zetu, au ku-recruit staff wa ikulu dhidi ya nchi yetu.
Hizi chokochoko za kuzuia misaada, mara kuzuia uwekezaji, au kuwazingua wawekezaji kwa mbinu za kiharakati.....kumbe zina sababu
 
Back
Top Bottom