voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
Binafsi nimekuelewa mkuu!Wahuni wa Benghazi walikuwa wanawaza hivi hivi!!! Yaliyowakuta, hawataki kuyasimulia.
Tujifunze madhara ya mawazo ya wahuni wa Benghazi tusije na sisi kuitwa "wahuni".
Najua ngumu kunielewa lakini jitahidi hivyo hivyo nitaeleweka.
Ila wale wa Benghazi walilewesha kampeni ya nchi za Magharibi,na laana inawatafuna mpaka leo.
Laana ya Gaddafi haijawaacha Salama kamwe!
Kila siku wanamwagika Baharini bila Msaada wa waliowadanganya!