Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Huwezi kuifananisha Libya ya Gaddafi, na hii Tanzania yetu ya ccm!Wahuni wa Benghazi walikuwa wanawaza hivi hivi!!! Yaliyowakuta, hawataki kuyasimulia.
Tujifunze madhara ya mawazo ya wahuni wa Benghazi tusije na sisi kuitwa "wahuni".
Najua ngumu kunielewa lakini jitahidi hivyo hivyo nitaeleweka.
Walibya walipewa kila kitu! Maisha yao yalikuwa ni bora kuliko hata ya Wamarekani! Halafu wakanyimwa uhuru wa demokrasia! Ila sisi huku tumenyimwa vyote. Hivyo hatuna cha kupoteza.