Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani huyo tena kaiba mali ya umma mkuu? 😁Sometimes hii nchi yetu inachosha sana Umeme,Maji,Wizi wa mali za umma bila uoga na aibu.......na mambo mengi meengii ya kijinga jinga
Kwa sasa hata shetani akiibuka kutoka kuzimu akasema atusaidie kuitoa ccm...sisi wananchi tutakuwa upande wake.I wish angekuwa kweli huo mpango wa CIA ili atusaidie kuiondoa ccm madarakani.
Baada ya hapo tutajua cha kufanya. Ila kwa sasa adui wetu namba moja kama Taifa, ni ccm! Na siyo Tundu Lissu, au hao CIA.
Sasa ulitaka watoto wake wasote kama wa ndugu zako wanaolilia mikopo ya elimu ya juu bila mafanikio!Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter.
Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi.! Wanahamasisha watoto wetu waandamane, wapigwe rungu, wa kwao wako Trump Hotels wanakula baga na pizza.
Kwa nini Lissu hawaambii watoto wake wakane uraia wa Marekani ili wafaidi matunda ya anavyopigania? Je, Lissu sio mpango wa C.I.A katika taifa letu?
Muda utasema. Kwa Sasa hana kazi ya kumuingizia kipato, lakini anatalii majiji ya Ulaya na Marekani akila maisha kwa fahari kuu, hatujui chanzo Cha mapato yake
Mzee nawe umeandika hoja mfu Sana aisee...aliyekuwa anatishia maisha ya Lissu na serikali yake wote sasa hivi hawapo...Mama Samia alimtembele mpaka ubeligiji akamwambia Rudi nyumbani..na zaidi akamlipa na stahiki zake za ubunge...akahojiwa na BBC aksema atakuja nchini mwezi Nne mwaka huu.., hivi sasa ni mwezi wa 11, jamaa anadunda ulaya Kisha anatoa matamko ya kijinga...why asirudi bongo kama.mwenzake mbowe baada ya kusikia magu kafa akarudi chap..George Weah ni Rais wa Liberia mtoto wake juzi kafunga bao na timu ya taifa ya marekani
So na George ni C.I.A?
Wakina Mandela waliishi Morogoro na Butiama wakati wa ubaguzi wa rangi south africa so hoja yako Haina mashiko.
Rais wa Congo wa Sasa aliishi Sana ubelgiji so na yeye ni mbelgiji?
Huyo trump mwenyewe na obama ukiwatazama hawana hata asili ya marekani lakini wametawala
Obama katumwa na kenya marekani na mke wake alitumwa na israel?
Hoja zako za kipumbavu Sana watu wataishi vipi kwenye nchi ambayo usalama wao hauna uhakika? Hakikisheni kwanza usalama wa watu ndio muanze kuwahukumu.
Wakina Akwilina, Azory, Mawazo wako wapi?
Kwani uongo kuwa wewe pia ni punda!Unakatwa
Wewe kila siku unaleta upuuzi mtupu, hakuna simu hata moja akili yako inakaa sawa?Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter.
Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi.! Wanahamasisha watoto wetu waandamane, wapigwe rungu, wa kwao wako Trump Hotels wanakula baga na pizza.
Kwa nini Lissu hawaambii watoto wake wakane uraia wa Marekani ili wafaidi matunda ya anavyopigania? Je, Lissu sio mpango wa C.I.A katika taifa letu?
Muda utasema. Kwa Sasa hana kazi ya kumuingizia kipato, lakini anatalii majiji ya Ulaya na Marekani akila maisha kwa fahari kuu, hatujui chanzo Cha mapato yake
The world is a global village. Kama wamepata opportunities huko, why not. Hapa nchi inamilikiwa na wachache... Akina Mwinyi, Kikwete, Makamba, Suluhu, Nahuye,. Kama huna jina kupenetrate ni ngumu labda uwe na God father.Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter.
Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi.! Wanahamasisha watoto wetu waandamane, wapigwe rungu, wa kwao wako Trump Hotels wanakula baga na pizza.
Kwa nini Lissu hawaambii watoto wake wakane uraia wa Marekani ili wafaidi matunda ya anavyopigania? Je, Lissu sio mpango wa C.I.A katika taifa letu?
Muda utasema. Kwa Sasa hana kazi ya kumuingizia kipato, lakini anatalii majiji ya Ulaya na Marekani akila maisha kwa fahari kuu, hatujui chanzo Cha mapato yake
Hawezi akarudi saa hizi, atarudi maana hawezi kukaa bila kazi,Mzee nawe umeandika hoja mfu Sana aisee...aliyekuwa anatishia maisha ya Lissu na serikali yake wote sasa hivi hawapo...Mama Samia alimtembele mpaka ubeligiji akamwambia Rudi nyumbani..na zaidi akamlipa na stahiki zake za ubunge...akahojiwa na BBC aksema atakuja nchini mwezi Nne mwaka huu.., hivi sasa ni mwezi wa 11, jamaa anadunda ulaya Kisha anatoa matamko ya kijinga...why asirudi bongo kama.mwenzake mbowe baada ya kusikia magu kafa akarudi chap..
Huo ndio ukweli kama hujui. Tena alisema mwenyewe.Acha uongo
hata ungekuwa wewe, Mungu amekuepushia assassination kama ilivyokuwa kwa Lisu, hautataka kuiokoa familia yako? Utaiacha tu iendelee kuzurura kariakoo?.....Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter.
Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi.! Wanahamasisha watoto wetu waandamane, wapigwe rungu, wa kwao wako Trump Hotels wanakula baga na pizza.
Kwa nini Lissu hawaambii watoto wake wakane uraia wa Marekani ili wafaidi matunda ya anavyopigania? Je, Lissu sio mpango wa C.I.A katika taifa letu?
Muda utasema. Kwa Sasa hana kazi ya kumuingizia kipato, lakini anatalii majiji ya Ulaya na Marekani akila maisha kwa fahari kuu, hatujui chanzo Cha mapato yake
Huyu Chinembe lazIma ana uwendawazimu wa aina fulani. Hakuna siku analeta jambo la maana. Sidhani kama ana faida yoyote kwa yeyote.George Weah ni Rais wa Liberia mtoto wake juzi kafunga bao na timu ya taifa ya marekani
So na George ni C.I.A?
Wakina Mandela waliishi Morogoro na Butiama wakati wa ubaguzi wa rangi south africa so hoja yako Haina mashiko.
Rais wa Congo wa Sasa aliishi Sana ubelgiji so na yeye ni mbelgiji?
Huyo trump mwenyewe na obama ukiwatazama hawana hata asili ya marekani lakini wametawala
Obama katumwa na kenya marekani na mke wake alitumwa na israel?
Hoja zako za kipumbavu Sana watu wataishi vipi kwenye nchi ambayo usalama wao hauna uhakika? Hakikisheni kwanza usalama wa watu ndio muanze kuwahukumu.
Wakina Akwilina, Azory, Mawazo wako wapi?
Sorry, Globo hawk not blackhawkBlack hawk si attack helicopter ya marekani!!..kimsingi uingereza waliojifanya kumpa safe escape route ndiyo waliomuuza,na aliuawa na majasusi wa ufaransa, Gaddafi alitishia zaidi maslahi ya ufaransa kwa kutaka kuzifanya francophone countries kutopeleka gold reserve bank kuu ufaransa
Hao walienda kuficha familia, sisi ikulu yetu ikaliwe na wamarekani kweli, wazurure huko na huko mpaka vyooni?Wewe kila siku unaleta upuuzi mtupu, hakuna simu hata moja akili yako inakaa sawa?
Nani ilikuambia kuwa Lisu hana kazi? Kama hujui, uliza kwanza kabla ya kuropoka.
Baada ya yeye Lisu kuwa targeted na utawala wa kishetani, ulitaka watoto wabakie hapa ili nao washambuliwe kwa risasi kama ngiri, kama alivyofanywa Baba yao?
Usiwe mjinga, soma historical intelligency uelimike. Unafahamu Mwalimu Nyerere alienda kuificha wapi familia yake wakati wa kupigania uhuru? Unafahamu Samora alienda kuificha wapi familia yake wakati wa mapambano? Unafahamu Augustinho Neto alienda kuificha wapi familia yake wakati wa mapambano? Hivi unadhani wakati wa mapambano familia ya wewe kapuku itawindwa kwa nguvu sawa na familia ya kiongozi wa mapambano?
Self preservationhata ungekuwa wewe, Mungu amekuepushia assassination kama ilivyokuwa kwa Lisu, hautataka uiokoa familia yako? Utaiacha tu iendelee kuzurura kariakoo?.....