econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Uzuri
Uzuri ni kwamba ghadafi kauawa na raia wake wenyewe, Tena kwa mikono yao wenyewe. Walipomkamata kwenye handaki kajificha. Walimpiga Kama mwizi.
Sema alipouliwa na walafi, wenye husuda, roho mbaya dhidi ya waafrika baadhi ya nchi za EU, NATO, na hasa Ufaransa. Acha kumung'unya maneno.
Uzuri ni kwamba ghadafi kauawa na raia wake wenyewe, Tena kwa mikono yao wenyewe. Walipomkamata kwenye handaki kajificha. Walimpiga Kama mwizi.