Lissu: Watoto wangu wote ni raia wa Marekani

Lissu: Watoto wangu wote ni raia wa Marekani

Mala tuhamie burundi, nchi haina umoja, nchi haina mfumo wa kukwamua vijana nchi haina mfumo mzuri wa elimu wala ajira.. Nchi ina mifumo ya kinyonyaji, nchi imejaa watawala na viongozi wanyonyaji watu wenye tambaa mbaya na ubinafsi.. Na wanachi na sie tumeshikwa akili sijui dah 😔
Sasa tutafanyaje .....tumeshika makali
 
Samiah ndio mwenye jipya?. Mgao na tozo na mfumuko wa Bei kwa kwenda mbele.
Yes ana jipya, si unaona tuko naye pamoja tunapambana pamoja, Sasa huyu bash*** wa wazungu yeye Yuko ughaibuni huku akitupangia kipi cha kufanya, na Mara nyingine anatutaka eti tuandamane, huyu Ni mpuuzi tu!!
 
George Weah ni Rais wa Liberia mtoto wake juzi kafunga bao na timu ya taifa ya marekani

So na George ni C.I.A?

Wakina Mandela waliishi Morogoro na Butiama wakati wa ubaguzi wa rangi south africa so hoja yako Haina mashiko.

Rais wa Congo wa Sasa aliishi Sana ubelgiji so na yeye ni mbelgiji?

Huyo trump mwenyewe na obama ukiwatazama hawana hata asili ya marekani lakini wametawala

Obama katumwa na kenya marekani na mke wake alitumwa na israel?

Hoja zako za kipumbavu Sana watu wataishi vipi kwenye nchi ambayo usalama wao hauna uhakika? Hakikisheni kwanza usalama wa watu ndio muanze kuwahukumu.

Wakina Akwilina, Azory, Mawazo wako wapi?
Huyo George weah umeona anavyo ifilisi Liberia wananchi hawana hamu naye kabisa, Mpaka wanahis hela anafcha kwa wanae huko usa. Anapata nguvu kwasabu mabeberu wameshamshika hakuna yyte wa kumtinga
 
Mnyalu Balali anadunda tu kama Elizabeth!
Na kuhakikishia hata wewe ukikalia kigoda kikuu, mambo yatateleza tuuu. Hutakiwi kuwa za saana kama akina Newton!!!!😄😄😄😄😄😄😄😄
 
George Weah ni Rais wa Liberia mtoto wake juzi kafunga bao na timu ya taifa ya marekani

So na George ni C.I.A?

Wakina Mandela waliishi Morogoro na Butiama wakati wa ubaguzi wa rangi south africa so hoja yako Haina mashiko.

Rais wa Congo wa Sasa aliishi Sana ubelgiji so na yeye ni mbelgiji?

Huyo trump mwenyewe na obama ukiwatazama hawana hata asili ya marekani lakini wametawala

Obama katumwa na kenya marekani na mke wake alitumwa na israel?

Hoja zako za kipumbavu Sana watu wataishi vipi kwenye nchi ambayo usalama wao hauna uhakika? Hakikisheni kwanza usalama wa watu ndio muanze kuwahukumu.

Wakina Akwilina, Azory, Mawazo wako wapi?
Naona mnawatete kina lisu wenu kwa Hali yoyotee nyinyi hamuoni shida
 
Sasa tutafanyaje .....tumeshika makali
Mungu kwanza, cha pili kuanza na kutumia tulicho nacho ambacho Mungu ameturiki. Musa aliulizwa una nini kwanini kunililia mimi? Akasema nina fimbo, Bwana akamuambia inyoshe kuelekea baharini na bahari ikatawanyika ( Miracles from Above). Tutumie kidogo ambacho Mungu kutujalia kujikwamua tulipo huenda muujiza ukawa mbele yetu kwakuwa tumechukua hatua.. Nchi hii imejaaa waovu na makatili sana na wabinafsi waliopitiliza kiwango na kuwa kama wana wa mashteni
 
Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter.

Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi.! Wanahamasisha watoto wetu waandamane, wapigwe rungu, wa kwao wako Trump Hotels wanakula baga na pizza.

Kwa nini Lissu hawaambii watoto wake wakane uraia wa Marekani ili wafaidi matunda ya anavyopigania? Je, Lissu sio mpango wa C.I.A katika taifa letu?

Muda utasema. Kwa Sasa hana kazi ya kumuingizia kipato, lakini anatalii majiji ya Ulaya na Marekani akila maisha kwa fahari kuu, hatujui chanzo Cha mapato yake
Umeme na maji umewashinda nyie mbwa mnabaki mnabweka bweka "mama anaupiga mwingi". Wapuuzi nyie fungeni mabakuli yenu hayo
 
Mbona Wanaccm wengi tu Wana uraia wa Marekani na wengine Cuba na tumewapa hadi uwaziri

Ni kawaida sana
Ndio maana hata CCM yenyewe haiaminiki kwa watanzania kamwe!

CCM iliyoaminika na watanzania sio hii ya kina #Mwigulu!

Bali ile ya kina Nyerere na baadae ya Magufuli!

Baadae imerudi ya Majanga!

Mabehewa TRC fake!

UMEME Tanesco Upigaji kwenye mikataba na Majenereta!

Wizi umetamalaki kuanzia Hazina Mpaka Halmashauri!

Hujuma zimerudi upya ATCL!

MAFISADI wa CCM wanataka kutengeneza barabara binafsi ya kulipia, Chalinze-Morogoro!

Vyeti Fake wamerudi kimyakimya huku pia walio nje ya ajira wakilipwa upya!

Bei za vitu zinapanda huku Rais anatwambia tulizowea vya Bure!

Ewe Mola ibariki Tanzania [emoji1241]
 
Bongo kamwe usimuamini mwanasiasa na wasanii.wote wanaishi kimaigizo

Kuwa binadamu acha roho ya ushetani?. Kuna msanii gani amewahi kulimwa risasi mchana?. Usiingize vichekesho kwenye Jambo serious.

Lissu kalimwa risasi , kafukuzwa ubunge bila sababu , upelelezi mpaka leo haujafanyika na kanyimwa matibabu na marupurupu yake. Nani mwenye akili angeendeleza kuishi kwenye nchi yenye wattu wenye roho mbaya Kama hiyo? Hata Mimi ningehama na kuchukua uraia wa nchi nyingine wenye mioyo mema.
 
Akili kichwani mzee.. Hii nchi walicho nacho wanatengezea mazingira mazuri sana kwa watoto wao na vizazi vyao.. Kesheshe ipo kwa wasio nacho makapuku.. Ubinafai umetalamaki, hadi inafikia viongozi wanatoa matamko ya ajabu tusio na ajira tukachekiwe mirembe, mala tupo wazembe mala tujiajiri.. Ila tu kwakuwa wao wameshiba.. Jobless kama mzabzab atatoka hapo [emoji28][emoji28]
Yani hii nchi hata ambao hatuchokagi tumechoka
 
Mzeeya hawa wanatuina sie majinga tuu. Wote walamba asali tuu aliyeshiba hamjui mwenye njaa

Wewe ndio unajioana mjinga. Jione wa maana kwanza acha kuangalia mwingine anakuonaje.
 
Wanasiasa bwana aligombea urais huku amekata TICKET ya go and return 😄😄, mh. Lowasa alisema kipaumbele na moja mpaka tatu Ni ELIMU. aliona mbali Sana mzee wetu..mtu asababishe vulugu watu wavunjwe yy familia yake yote ipo kwa mabeberu huko.

Vurugu gani? Tanzania ni nchi ya amani. Vurugu utasababisha wewe mwenyewe.
 
Baada ya hapo tutajua cha kufanya. Ila kwa sasa adui wetu namba moja kama Taifa, ni ccm! Na siyo Tundu Lissu, au hao CIA
Wahuni wa Benghazi walikuwa wanawaza hivi hivi!!! Yaliyowakuta, hawataki kuyasimulia.

Tujifunze madhara ya mawazo ya wahuni wa Benghazi tusije na sisi kuitwa "wahuni".


Najua ngumu kunielewa lakini jitahidi hivyo hivyo nitaeleweka.
 
Na kwa sababu huijui historia ya Liberia na Marekani, sioni ajabu kwako kusema hayo uyasemayo.

Ila nakushauri uelewe hivi.

"Liberia is a country in West Africa founded by free people of color from the United States. The emigration of African Americans, both free and recently emancipated, was funded and organized by the American Colonization Society. The mortality rate of these settlers was the highest in accurately recorded human history."

Kwa hayo Machache wewe ...
johnthebaptist !

Unapaswa kujua kwamba hata yule Mama Johnson Sirleaf alikuwa Rais Liberia,lakini familia yake ikiwa USA.

Hilo taifa liliundwa na Marekani. Ni masalia ya watumwa waliorudishwa Africa ili kupunguza uzao na ongezeko la idadi yao,dhidi ya wamarekani weupe!

Kwa hiyo Wa-Liberia wengi,Marekani ndio kwa mababu zao.
Na kenya na Marekani


Sisi hatuna uhusino na marekani ? Hawa ambao wanajenga barabara setup bure kwa msaada wa watu wa marekani?

Pumbavu!!
 
Back
Top Bottom