zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
Bongo kamwe usimuamini mwanasiasa na wasanii.wote wanaishi kimaigizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonaje ungeanza kwanza kuwashukuru watoto wa Lissu kwa kukujengea Barabara halafu ukaendelea na porojo zako?Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter.
Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi.!
Kwa nini Lissu hawaambii watoto wake wakane uraia wa Marekani ili wafaidi matunda ya anavyopigania? Je, Lissu sio mpango wa C.I.A katika taifa letu?
Muda utasema. Kwa Sasa hana kazi ya kumuingizia kipato, lakini anatalii majiji ya Ulaya na Marekani akila maisha kwa fahari kuu, hatujui chanzo Cha mapato yake
Uko sahihi.Wacha watu waangalie penye malisho mema, hii Tanzania ina maisha gani ya maana?
Kwa sababu huwa mimi nanyoosha Rula ya UKWELI!Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter.
Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi.!
Kwa nini Lissu hawaambii watoto wake wakane uraia wa Marekani ili wafaidi matunda ya anavyopigania? Je, Lissu sio mpango wa C.I.A katika taifa letu?
Muda utasema. Kwa Sasa hana kazi ya kumuingizia kipato, lakini anatalii majiji ya Ulaya na Marekani akila maisha kwa fahari kuu, hatujui chanzo Cha mapato yake
Mzeeya hawa wanatuina sie majinga tuu. Wote walamba asali tuu aliyeshiba hamjui mwenye njaaAkili kichwani mzee.. Hii nchi walicho nacho wanatengezea mazingira mazuri sana kwa watoto wao na vizazi vyao.. Kesheshe ipo kwa wasio nacho makapuku.. Ubinafai umetalamaki, hadi inafikia viongozi wanatoa matamko ya ajabu tusio na ajira tukachekiwe mirembe, mala tupo wazembe mala tujiajiri.. Ila tu kwakuwa wao wameshiba.. Jobless kama mzabzab atatoka hapo 😅😅
Hapo nimekubali kwa wewe kuukubali ukweli, yule Gavana wa BOT tuliambiwa "kazikwa" Marekani vipi kuhusu hili.!!!!Kawaida sana
George Weah ni Rais wa Liberia lakini mtoto wake ni raia wa Marekani na Juzi kaifungia goli nchi yake ya USA kwenye kombe la Dunia
Wanajiongezea tu urefu wa kamba zao..Mzeeya hawa wanatuina sie majinga tuu. Wote walamba asali tuu aliyeshiba hamjui mwenye njaa
Mnyalu Balali anadunda tu kama Elizabeth!Hapo nimekubali kwa wewe kuukubali ukweli, yule Gavana wa BOT tuliambiwa "kazikwa" Marekani vipi kuhusu hili.!!!!
Na kwa sababu huijui historia ya Liberia na Marekani, sioni ajabu kwako kusema hayo uyasemayo.Kawaida sana
George Weah ni Rais wa Liberia lakini mtoto wake ni raia wa Marekani na Juzi kaifungia goli nchi yake ya USA kwenye kombe la Dunia
Akili za kiccm hizi,mlivyomfanyia unyama ule mtashindwa kumuulia watoto wake ili muzidi kumuumiza?Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter.
Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi.!
Kwa nini Lissu hawaambii watoto wake wakane uraia wa Marekani ili wafaidi matunda ya anavyopigania? Je, Lissu sio mpango wa C.I.A katika taifa letu?
Muda utasema. Kwa Sasa hana kazi ya kumuingizia kipato, lakini anatalii majiji ya Ulaya na Marekani akila maisha kwa fahari kuu, hatujui chanzo Cha mapato yake
Mbona Wanaccm wengi tu Wana uraia wa Marekani na wengine Cuba na tumewapa hadi uwaziriNa kwa sababu huijui historia ya Liberia na Marekani, sioni ajabu kwako kusema hayo uyasemayo.
Ila nakushauri uelewe hivi.
"Liberia is a country in West Africa founded by free people of color from the United States. The emigration of African Americans, both free and recently emancipated, was funded and organized by the American Colonization Society. The mortality rate of these settlers was the highest in accurately recorded human history."
Kwa hayo Machache wewe ...
johnthebaptist !
Unapaswa kujua kwamba hata yule Mama Johnson Sirleaf alikuwa Rais Liberia,lakini familia yake ikiwa USA.
Hilo taifa liliundwa na Marekani. Ni masalia ya watumwa waliorudishwa Africa ili kupunguza uzao na ongezeko la idadi yao,dhidi ya wamarekani weupe!
Kwa hiyo Wa-Liberia wengi,Marekani ndio kwa mababu zao.