econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Sawa mkuu wacha ninywe chai hapa ya mama wa kambo alafu nianze kujiona wa thamani
Safi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu wacha ninywe chai hapa ya mama wa kambo alafu nianze kujiona wa thamani
Unaushahidi gani juu yake kumuepusha na kikombe hicho?So na George ni C.I.A?
Wahuni wa Benghazi walikuwa wanawaza hivi hivi!!! Yaliyowakuta, hawataki kuyasimulia.
Tujifunze madhara ya mawazo ya wahuni wa Benghazi tusije na sisi kuitwa "wahuni".
Najua ngumu kunielewa lakini jitahidi hivyo hivyo nitaeleweka.
Hivi kipindi kile wanaleta vulugu wanafanya mikutano bila kibali ulikuwa bado upo shule mkuu.Vurugu gani? Tanzania ni nchi ya amani. Vurugu utasababisha wewe mwenyewe.
Ndio maana hata CCM yenyewe haiaminiki kwa watanzania kamwe!
CCM iliyoaminika na watanzania sio hii ya kina #Mwigulu!
Bali ile ya kina Nyerere na baadae ya Magufuli!
Baadae imerudi ya Majanga!
Mabehewa TRC fake!
UMEME Tanesco Upigaji kwenye mikataba na Majenereta!
Wizi umetamalaki kuanzia Hazina Mpaka Halmashauri!
Hujuma zimerudi upya ATCL!
MAFISADI wa CCM wanataka kutengeneza barabara binafsi ya kulipia, Chalinze-Morogoro!
Vyeti Fake wamerudi kimyakimya huku pia walio nje ya ajira wakilipwa upya!
Bei za vitu zinapanda huku Rais anatwambia tulizowea vya Bure!
Ewe Mola ibariki Tanzania [emoji1241]
Sema alipouliwa na walafi, wenye husuda, roho mbaya dhidi ya waafrika baadhi ya nchi za EU, NATO, na hasa Ufaransa. Acha kumung'unya maneno.alipoondoka
Yote hayo kasabisha ghadafi. Aliiongoza Libya Kama kampuni binafsi na ndio maana alipoondoka kulikuwa hakuna misingi imara ya kuiendeleza Libya Bali mawazo yake tu. Halafu utambue kwamba Libya ilikuwa imegawanyika pande tatu. Ni mkono wa chuma wa ghadafi ndio ulisababisha hiyo Hali isionekane. Tumshukuru Nyerere kwa kutuweka pamoja.
Yes ana jipya, si unaona tuko naye pamoja tunapambana pamoja, Sasa huyu bash*** wa wazungu yeye Yuko ughaibuni huku akitupangia kipi cha kufanya, na Mara nyingine anatutaka eti tuandamane, huyu Ni mpuuzi tu!!
Unamshukuru nan????Hiii nchi imejaa wajinga wengi hiyo ndyo salama ya chama chakavu
nimepokea taarifa kwa mshituko sana na kesho mchana narudisha kadi ya chadema ofisini kwao
Hapa ndio mwisho wa kufikiri kwa akili zakoKauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter.
Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi.! Wanahamasisha watoto wetu waandamane, wapigwe rungu, wa kwao wako Trump Hotels wanakula baga na pizza.
Kwa nini Lissu hawaambii watoto wake wakane uraia wa Marekani ili wafaidi matunda ya anavyopigania? Je, Lissu sio mpango wa C.I.A katika taifa letu?
Muda utasema. Kwa Sasa hana kazi ya kumuingizia kipato, lakini anatalii majiji ya Ulaya na Marekani akila maisha kwa fahari kuu, hatujui chanzo Cha mapato yake
Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter.
Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi.! Wanahamasisha watoto wetu waandamane, wapigwe rungu, wa kwao wako Trump Hotels wanakula baga na pizza.
Kwa nini Lissu hawaambii watoto wake wakane uraia wa Marekani ili wafaidi matunda ya anavyopigania? Je, Lissu sio mpango wa C.I.A katika taifa letu?
Muda utasema. Kwa Sasa hana kazi ya kumuingizia kipato, lakini anatalii majiji ya Ulaya na Marekani akila maisha kwa fahari kuu, hatujui chanzo Cha mapato yake
Kwa taarifa yako, mama Samia, Mwenyekiti wa CCM, watoto wake wawili ni raia wa Uingereza.Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter.
Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi.! Wanahamasisha watoto wetu waandamane, wapigwe rungu, wa kwao wako Trump Hotels wanakula baga na pizza.
Kwa nini Lissu hawaambii watoto wake wakane uraia wa Marekani ili wafaidi matunda ya anavyopigania? Je, Lissu sio mpango wa C.I.A katika taifa letu?
Muda utasema. Kwa Sasa hana kazi ya kumuingizia kipato, lakini anatalii majiji ya Ulaya na Marekani akila maisha kwa fahari kuu, hatujui chanzo Cha mapato yake
Tatizo ni kwamba baba yako aliuza punda akaenda kukusomesha punda mwingineKauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter.
Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi.! Wanahamasisha watoto wetu waandamane, wapigwe rungu, wa kwao wako Trump Hotels wanakula baga na pizza.
Kwa nini Lissu hawaambii watoto wake wakane uraia wa Marekani ili wafaidi matunda ya anavyopigania? Je, Lissu sio mpango wa C.I.A katika taifa letu?
Muda utasema. Kwa Sasa hana kazi ya kumuingizia kipato, lakini anatalii majiji ya Ulaya na Marekani akila maisha kwa fahari kuu, hatujui chanzo Cha mapato yake
Hivi kipindi kile wanaleta vulugu wanafanya mikutano bila kibali ulikuwa bado upo shule mkuu.
Naipenda sana Amani sitakubali mtu aivuluge🇹🇿