Habari za asubuhi wanajamii
nimepata na mshutuko mkubwa kupata habari kwamba watoto wa Makamu mwenyekiti wa chadema kuwa sio watanzania bali ni wamarekani.
hili jambo nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu mustakali wa siasa za huyu nguli wa chadema kwamba anauzalendo kweli na Tanzania?
Je kama mzalendo kwanini familia yake awaishi Tanzania inchi ambayo lisu anaitetea kwa jasho na damu?
vile vile niliiangalia mapokezi yake siku anakuja kutoka Belgium alikuwa peke yake pasipo kuwa na familia yake.
kwa maana hiyo huyu jamaa anaweza kuwa kama kaamua kuleta machafuko kisha kurudi huko kwao. tuwe naye makini sana na huyu mtu