Lissu: Watoto wangu wote ni raia wa Marekani

B8ra hata angeluwa Agent wa CIA maana jamaa wanauliza hitaji lenu tuuuu.....the rest waaxhieni wao[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I wish angekuwa kweli huo mpango wa CIA ili atusaidie kuiondoa ccm madarakani.

Baada ya hapo tutajua cha kufanya. Ila kwa sasa adui wetu namba moja kama Taifa, ni ccm! Na siyo Tundu Lissu, au hao CIA.
This is treason, adhabu yake kunyongwa hadi kufa. Kwa hiyo, kuanzia post hii, kila tuendako ushahidi huu utoshe prima facie kufungua kesi ya uhaini.

Aidha, upo ushahidi kuwa kina tundulissu na kitu kinachojiita Bunge la Wananchi (si Bunge wala hakina usajili rasmi lakini majina yao yanafahamika) leo hii tarehe 1 wataanza juhudi za pamoja Nchi nzima kuipinga Serkali iliyo madarakani isiendeshe kazi yake halali ya Uchaguzi halali. Wanapata logistical na financial support kutoka USA, Ubelgiji, Kenya, EU na kwingineko: ni conspiracy to commit treason.

Kuna kosa lingine hii huitwa MISPRISION OF TREASON, kufumbia macho uhaini ema kwa kukaa kimya huku ukijua na kutosema kwa vyombo rasmi vya usalama, kuwa kuna Uhaini unapangwa. Adhabu yake ni kama uhaini wenyewe: kunyongwa hadi ufe.

Of course mmejitayarisha, wengine wananunua silaha Ubelgiji na Ujeremani wengine kuzistockpile maghalani nchi nzima; kuhamasisha mablogu: huo ndiyo ushahidi wenyewe.

Siku tu wakianza kutekeleza njama hizi (mathalani kumzuru mpiga kura; kumteka msimamizi wa kura; kuchoma ballot papers; kurusha matangazo kwenye mablogu na rediyo). CID watawakusanya wote na kufungua jalada la uhaini.

Haya mambo ni mageni huku kwetu ila nchi kama Kenya ni jambo la kawaida. Be warned: msitufikishe huko.

Msisahau pia kuwa mtu wa kwanza kufa mtakuwa nyie maana Viongozi wenu (wake zao, watoto wao) wana uraiapacha nchi za mabeberu.
 
Lissu waache watoto wako waishi huko huko, maana CCM walitaka kuuangamiza wewe na kizazi chako chote. Sisi watanzania tunajua magumu uliyopitia, ulivyoponyoka kwenye bonde la kifo, Zaburi ya 23 ya Mfalme Daudi wa Islael kwa Mungu wake ikakusimamia.
Kunguru muoga hukimbiza ubawa wake
 
This is treason, adhabu yake kunyongwa hadi kufa. Kwa hiyo, kuanzia post hii, kila tuendako ushahidi huu utoshe prima facie kufungua kesi ya uhaini.

Aidha, upo ushahidi kuwa kina tundulissu na kitu kinachojiita Bunge la Wananchi (si Bunge wala hakina usajili rasmi lakini majina yao yanafahamika) leo hii tarehe 1 wataanza juhudi za pamoja Nchi nzima kuipinga Serkali iliyo madarakani isiendeshe kazi yake halali ya Uchaguzi halali. Wanapata logistical na financial support kutoka USA, Ubelgiji, Kenya, EU na kwingineko: ni conspiracy to commit treason.

Kuna kosa lingine hii huitwa MISPRISION OF TREASON, kufumbia macho uhaini ema kwa kukaa kimya huku ukijua na kutosema kwa vyombo rasmi vya usalama, kuwa kuna Uhaini unapangwa. Adhabu yake ni kama uhaini wenyewe: kunyongwa hadi ufe.

Of course mmejitayarisha, wengine wananunua silaha Ubelgiji na Ujeremani wengine kuzistockpile maghalani nchi nzima; kuhamasisha mablogu: huo ndiyo ushahidi wenyewe.

Siku tu wakianza kutekeleza njama hizi (mathalani kumzuru mpiga kura; kumteka msimamizi wa kura; kuchoma ballot papers; kurusha matangazo kwenye mablogu na rediyo). CID watawakusanya wote na kufungua jalada la uhaini.

Haya mambo ni mageni huku kwetu ila nchi kama Kenya ni jambo la kawaida. Be warned: msitufikishe huko.

Msisahau pia kuwa mtu wa kwanza kufa mtakuwa nyie maana Viongozi wenu (wake zao, watoto wao) wana uraiapacha nchi za mabeberu.
Kama hamtaki kutoka madarakani kwa njia ya amani, ni wakati sasa wa kuangalia njia zingine za kuwasaidia kuondoka madarakani. Mlichokifanya 2020, hakivumiliki.

Na mkijaribu kukirudia tena 2025, yatakayowakuta, mtakuwa mmejitakia wenyewe.
 
I wish angekuwa kweli huo mpango wa CIA ili atusaidie kuiondoa ccm madarakani.

Baada ya hapo tutajua cha kufanya. Ila kwa sasa adui wetu namba moja kama Taifa, ni ccm! Na siyo Tundu Lissu, au hao CIA.
Jomba kwa hiyo ukiitoa ccm uweke nani Sasa..nani ambaye anaweza beba mikoba ya nchi hii...usifanye mchezo....tupe ushauri
 
Hii nchi inaweza kuongozwa na mtu yeyote yule. Kwani hao ccm wana kipi cha ajabu? Mbona wengi wao ni vilaza tu.
 
Kama hamtaki kutoka madarakani kwa njia ya amani, ni wakati sasa wa kuangalia njia zingine za kuwasaidia kuondoka madarakani. Mlichokifanya 2020, hakivumiliki.

Na mkijaribu kukirudia tena 2025, yatakayowakuta, mtakuwa mmejitakia wenyewe.
Jaribu uone kilichomtoa nyoka pangoni, njia pekee ni sanduku la kura.
 
Ni wakati sasa wa kuwaondoa madarakani kwa njia yoyote ile.

No way out. Enough is enough.
Jaribu hiyo njia yoyote, utakutana na dola katika hiyo njia yoyote, na hakuna mtu atakuombolezea Wala kukuwekea matanga
 
Hata serikali ya mseto itaundwa tu. Muhimu ccm ipumzike.
Hahaha hizi ndoto labda..jomba. jengeni Taasisi imara ambayo unaweza kuleta challenge kwa ccm..yenye sera madhubuti..ccm ni giant party..Ina mizizi mpka mashinani..hatuwez fanya majaribio ya uongozi mbadala kwa Sasa.tunahitaji kupiga hatua ya kimaendeleo.
 
Najuwa hamtaki kumfahamu mtoa mada.mtoa mada anamanisha Lissu anataka watu waandamane Tanzania Kwa ajili ya kumpigania maslahi yake na familia yake wakati yeye yupo nje analipa na wazungu wewe huna anaekulipa upo tz.umeingia barabarani umevunjwa mguu hivi Lissu anaweza toka nje akakuletea fedha mpk upone? Tafakari chukua hatua
giphy.gif
Wewe ni mchumia tumbo ndio maana unaongea utumbo, ungejua ccm ilivyo tuchosha kiasi kwamba tunaona heri tutawaliwe hata na shetani 😈 kuliko hawa wakoloni weusi.
 
This is treason, adhabu yake kunyongwa hadi kufa. Kwa hiyo, kuanzia post hii, kila tuendako ushahidi huu utoshe prima facie kufungua kesi ya uhaini.

Aidha, upo ushahidi kuwa kina tundulissu na kitu kinachojiita Bunge la Wananchi (si Bunge wala hakina usajili rasmi lakini majina yao yanafahamika) leo hii tarehe 1 wataanza juhudi za pamoja Nchi nzima kuipinga Serkali iliyo madarakani isiendeshe kazi yake halali ya Uchaguzi halali. Wanapata logistical na financial support kutoka USA, Ubelgiji, Kenya, EU na kwingineko: ni conspiracy to commit treason.

Kuna kosa lingine hii huitwa MISPRISION OF TREASON, kufumbia macho uhaini ema kwa kukaa kimya huku ukijua na kutosema kwa vyombo rasmi vya usalama, kuwa kuna Uhaini unapangwa. Adhabu yake ni kama uhaini wenyewe: kunyongwa hadi ufe.

Of course mmejitayarisha, wengine wananunua silaha Ubelgiji na Ujeremani wengine kuzistockpile maghalani nchi nzima; kuhamasisha mablogu: huo ndiyo ushahidi wenyewe.

Siku tu wakianza kutekeleza njama hizi (mathalani kumzuru mpiga kura; kumteka msimamizi wa kura; kuchoma ballot papers; kurusha matangazo kwenye mablogu na rediyo). CID watawakusanya wote na kufungua jalada la uhaini.

Haya mambo ni mageni huku kwetu ila nchi kama Kenya ni jambo la kawaida. Be warned: msitufikishe huko.

Msisahau pia kuwa mtu wa kwanza kufa mtakuwa nyie maana Viongozi wenu (wake zao, watoto wao) wana uraiapacha nchi za mabeberu.
Shida sana pale mtu anapokuwa na akili za kujitawaza tu.
 
Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter.

Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi! Wanahamasisha watoto wetu waandamane, wapigwe rungu, wa kwao wako Trump Hotels wanakula baga na pizza.

Kwa nini Lissu hawaambii watoto wake wakane uraia wa Marekani ili wafaidi matunda ya anavyopigania? Je, Lissu sio mpango wa C.I.A katika taifa letu?

Muda utasema. Kwa sasa hana kazi ya kumuingizia kipato, lakini anatalii majiji ya Ulaya na Marekani akila maisha kwa fahari kuu, hatujui chanzo cha mapato yake.

Napiga picha ikulu yetu imejaa raia wa marekani, wanazurura tu katika bustani, wanajisaidia vyooni, na kuoga, wanaleta marafiki zao, ambao pengine no majasusi wanapandikiza kamera na vinasa sauti, wanachomoa mafaili na kuondoka nayo, na kuhaki computer zetu, au ku-recruit staff wa ikulu dhidi ya nchi yetu.
Namna hii akiitwa papeti ni kosa?
 
Nilisoma mahali kwamba Makamu Mwenyekiti wa CDM alisema watoto wake wana uraia wa nchi ya USA, je yeye anao uraia wa nchi gani na kama kiongozi anakidhi vigezo.
 
Habari za asubuhi wanajamii
nimepata na mshutuko mkubwa kupata habari kwamba watoto wa Makamu mwenyekiti wa chadema kuwa sio watanzania bali ni wamarekani.

hili jambo nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu mustakali wa siasa za huyu nguli wa chadema kwamba anauzalendo kweli na Tanzania?

Je kama mzalendo kwanini familia yake awaishi Tanzania inchi ambayo lisu anaitetea kwa jasho na damu?

vile vile niliiangalia mapokezi yake siku anakuja kutoka Belgium alikuwa peke yake pasipo kuwa na familia yake.

kwa maana hiyo huyu jamaa anaweza kuwa kama kaamua kuleta machafuko kisha kurudi huko kwao. tuwe naye makini sana na huyu mtu
 
Kuna viongozi ambaye watoto wao ni raia wa nchi na wanaiibia nchi, inakuwa bure tu.
 
Back
Top Bottom