.....potelea mbali Ubunge......Issue si kufanya kazi, ni mtoto kuzaliwa. Kinachotakiwa ni CHETI CHA KUZALIWA, hata akizaliwa Airport tu ni raia. It's a shenzitype sort of
provision but kumbuka walitoka wapi. Mtamkumbuka Mbunge Nassari wa Arumeru? Naye alifukuzwa Ubunge na Supika Anna Makinda kwa kutohudhuria vikao? Alikuwa Marekani sponsorship ya chama chake CHADEMA, akahakikisha mama anatunga mimba na kuilea na kuzaa USA, patella mbali Ubunge. Hawo nao ni raia wa Marekani, sijui Nassari yuko wapi siku hizi? Hawa ndiyo jamaa zetu, wamefuta Uchaguzi 2025 watafanya vurugu.
Uganda, DRC si Tanzania.
Lissu hawezi kuaminika na mtu yeyote Tanzania, na umaarufu wake kufanya siasa kupitia mtandao ni bure kabisa.
Lissu hajawahi kufanya kazi Marekani.
Wewe ni fala kweli kweli,kuikosoa Serikali ya Hovyo hovyo kabisa ya CCM ni kuwa wakala wa CIA?Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter.
Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi! Wanahamasisha watoto wetu waandamane, wapigwe rungu, wa kwao wako Trump Hotels wanakula baga na pizza.
Kwa nini Lissu hawaambii watoto wake wakane uraia wa Marekani ili wafaidi matunda ya anavyopigania? Je, Lissu sio mpango wa C.I.A katika taifa letu?
Muda utasema. Kwa sasa hana kazi ya kumuingizia kipato, lakini anatalii majiji ya Ulaya na Marekani akila maisha kwa fahari kuu, hatujui chanzo cha mapato yake.
Napiga picha ikulu yetu imejaa raia wa marekani, wanazurura tu katika bustani, wanajisaidia vyooni, na kuoga, wanaleta marafiki zao, ambao pengine no majasusi wanapandikiza kamera na vinasa sauti, wanachomoa mafaili na kuondoka nayo, na kuhaki computer zetu, au ku-recruit staff wa ikulu dhidi ya nchi yetu.
Aliyewapiga risasi wapinzani naye kaondoka, na anaumbuliwa kila kukicha...wapinzani wakianza kushambuliwa kwa risasi mchana kweupe tunaweza kufanana na Uganda au Drc.
..Lissu, mkewe,na watoto, walikuwa wakiishi hapa Tanzania wamekimbia baada ya jaribio la kutaka kumuua.
Aliyewapiga risasi wapinzani naye kaondoka, na anaumbuliwa kila kukicha.
We cant run away from our problems.
Wenzetu wana Uraia pacha !George Weah ni Rais wa Liberia ila mwanae raia wa Marekani
Soma kwanza historia inayohusu Marekani na LiberiaGeorge Weah ni Rais wa Liberia ila mwanae raia wa Marekani
Hizi chokochoko za kuzuia misaada, mara kuzuia uwekezaji, au kuwazingua wawekezaji kwa mbinu za kiharakati.....kumbe zina sababuKauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter.