Lissu: Watoto wangu wote ni raia wa Marekani

Nawepeleka yako Afghanistan 😂
 
..watoto wa viongozi wa CCM wako hapa Tanzania lakini wana maisha ya kifahari kuzidi Wamarekani.

..Nadhani wananchi walishuhudia katika misiba ya kitaifa ya hivi karibuni ambako wanafamilia waliofiwa hawajui kuzungumza Kiswahili.

..Wanasiasa na viongozi wanaotafuna nchi watoto wao hawalazimiki kutafuta uraia wa nje, maisha yao hapahapa Tanzania ya kifahari na kufuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…