Lissu yupo Sana tu mtaani ninyi andaa tu jinsi ya kumpokea, wanaharakati baadhi wanawadanganya

Janja yako ili mambo yakienda kinyume useme wamakonde hatukukuelewa, siyo?
 
ok.🐒
 
Mi nafikiri TL alikuwa anakamilisha desert mission iliyosenwa na TA, tumeshuhudia wote katika utetezi wake jinsi alivyoonyesha mihimili ya dola ilivyo na udhaifu na jinsi mifumo ya uchaguzi inavyobeba chama kimoja na kidogo washirika wa hicho chama. Kiukweli kaonyesha namna mifumo ilivyonajisiwa, sasa kwa mantiki hiyo sidhani kama sterling wa mission anaweza kufungwa jela au kunyongwa mpaka kufa.

Baada ya hilo kama kweli kuna kikundi au DS kama inayosemwa tunatakiwa tuone taifa linasonga mbele kimaamizi ili kuifikia katiba mpya itakayoondoa mazongezonge kibao yaliyojaa kwenye kila taasisi ya serikali. Hata hivyo wamechelewa Sana kuifurusha hii serikali haramu iliyoua maelfu ya watanzania
 
The case against Lissu looks more like a political move than a fair legal process, and it has become a big problem for Samia’s government. At the same time, you praise activists who are allegedly being fed false information to mislead them. Kabudi, in my view, lacks the legal knowledge needed to prepare a proper court ruling. I believe Lissu will eventually be free.
 
Tafsiri:
Makisio ya kipuuzi, ya kubuni na yaliyosukwa kisiasa dhidi ya Lissu yamekuwa mzigo mzito sana shingoni mwa utawala haramu na usio wa kisheria wa Samia! Na bado, wakati huo huo, unawasifu na kuwapigia makofi wanaharakati wanaolishwa taarifa za kiintelijensia za uongo na za kizushi ili kuwapoteza maboya. KABUDI hana hata chembe ya uwezo wa kisheria wa kuandaa hukumu ya mahakama. Lissu bila shaka atapata tena uhuru wake.
 
Tafsiri rahisi:

Mashtaka ya kipuuzi, yaliyobuniwa na kuratibiwa kisiasa dhidi ya Lissu yamekuwa mzigo mkubwa sana kwa utawala wa Samia, ambao kwa mtazamo huu unachukuliwa kuwa haramu na usio halali kikatiba!

Hata hivyo, wakati huohuo, mnawasifu na kuwapongeza wanaharakati wanaolishwa taarifa za kiintelijensia za uongo, za kupotosha na zisizo na ukweli, kwa lengo la kuwafanya wapotoshwe.

KABUDI hana hata chembe ya umahiri wa kisheria na kitaaluma katika taaluma ya sheria unaohitajika kuandaa hukumu ya mahakama.

Lissu hatimaye atapata tena uhuru wake
 
Kadi ya Chama ninayo kama alivyo nayo MAMA MARIA NYERERE AU WARIOBA lakin hawapendi kinachoendelea CCM ,
Kwahiyo mnakufa na tai shingoni? 😹

Em itupe hiyo kadi haina umuhimu kwa sasa..!!
 
Sijui ulichoandika ila Kabudi ni chawa na mzinguaji -anatumika vibaya.
 
Kwenye timu ya mawakili wa lisu Kuna mtu anaitwa Maduhu. Jamaa anakaba mpaka kivuli. No shiiida
 
Binafsi nimechoka kuumizwa na hili. Wamtoe aisee aendelee na maisha yake. Atoke kwa vyovyote vile hata kwa maridhiano feki atoke tu. Anaumia kuwapigania watu ambao wapo tayari kwenda kumpokea miss, simba na yanga, lakini wasijae court kukinukisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…