List ya wasanii wa Bongo ambao walipata umaarufu na mafanikio makubwa, lakini leo wako juu ya mawe

Una uhakika au umemuweka tu hapo khamis kisa ya cheo chake?umewahisha sana mpe muda kidogo

FA wala AY hawajawahi kuchalala namna hiyo.

2015 nilikutana na FA anasukuma range mpyaa,nikauliza nikaambiwa ni yake.
Sakata lao na tigo linakuja baadae mpaka ubunge linakuja kuwaongezea tu zaidi.

Ni kama Prof,ni ugonjwa tu ndio unaleta majaribu ila walikaa kimasta.
 
Ila ana genes kali anatafuna njugu minjingu booster mda mrefu. Angekuwa wengine kajambanani kama yeye alivyofulia angeshakufa zamani

dronedrake
 
Kumbe alikuwa mjinga kiasi hiki..
 
Kwanza nkusahihishe

Ferooz hakuwahi kupewa zawadi ya gari na Mkapa ...Kipindi ngoma ya starehe imepata umaarufu , Ferooz album yake ya Safari ilifanya vizuri sana na kupelekea kupata fedha nyingi ndo akajinunulia ile gari ya Jeep
 
Msanii mwenye bahati toka tupate Uhuru ni Diamond, dogo amewekeza sana na amewekeza katika maeneo potential.

Ana bahati pia investments zake zinafanya vizuri,Huyu hata akifilisika kimziki bado investment zake zitamtunza.
 
Sema wanangu NICE alisumbua nyie[emoji28][emoji28][emoji28]

By 2003 niko zangu bush huko moro namsoma kupitia magazeti ilikuwa ni balaa.
Mr 9C mpaka katika vijiji vya nchi jirani kama vile Congo, Uganda, Burundi, Malawi, Zambia nk pia alisumbua sana mpaka watu wengine wakajiita jina lake.
Lakini leo yuko juu ya mawe hata hela ya kununua sim ya touch hana.
 
Nakubaliana na wewe kuwa hao uliowataja hapo juu wote wako vizuri miaka yote.
Hawajawahi kukaa juu ya mawe hata siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…