List yangu ya movie/series bora za muda wote kutoka industries mbalimbali duniani

Mufti kuku The Infinity

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
6,053
Reaction score
10,032
English series
1. Game of thrones
2. Prison break
3. Breaking bad
4. Blindspot


Korean Drama
1. Jumong
2. A man called god

Spanish series
1. Money heist

Indian movies
1. Movie yoyote ambayo yumo Aamir khana au Salman khan.
2. Baahubali the beginning na the conclusion

NB: kama zitatokea kali kuliko hizo, basi zijengewe sanamu kila nchi duniani
 
Umeanza lini kuangalia movies Mkuu? Listi yako iko shallow sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…