List yangu ya movie/series bora za muda wote kutoka industries mbalimbali duniani

List yangu ya movie/series bora za muda wote kutoka industries mbalimbali duniani

English series
1. Game of thrones
2. Prison break
3. Breaking bad
4. Blindspot

Korean Drama
1. Jumong
2. A man called god

Spanish series
1. Money heist

Indian movies
1. Movie yoyote ambayo yumo Aamir khana au Salman khan.
2. Baahubali the beginning na the conclusion

Nb: kama zitatokea kali kuliko hizo, basi zijengewe sanamu kila nchi duniani

Dangal ya mzee Amir khan[emoji119][emoji119] kwangu itakua the best movie ya kihind kwa muda wote
 
English series
1. Game of thrones
2. Prison break
3. Breaking bad
4. Blindspot

Korean Drama
1. Jumong
2. A man called god

Spanish series
1. Money heist

Indian movies
1. Movie yoyote ambayo yumo Aamir khana au Salman khan.
2. Baahubali the beginning na the conclusion

Nb: kama zitatokea kali kuliko hizo, basi zijengewe sanamu kila nchi duniani
Hapo Indian Movies ongezea 3 Idiots
 
Zangu bora ni mbili tu six flying dragons na deep rooted tree (milbon), napenda series zenye mtiririko wa matukio ya kihistoria ya kweli ambayo yalikwisha tokea miaka mingi huko nyuma, una imagine real characters walikuwaje Hawa, mbona walifanya vitu vya ajabu.
 
Mim undercover, vagabond, iris, the order, 60 days, saint and narcos
 
Za kihindi - Three idiots.

Mr Virus mule ametutendea haki.
 
Back
Top Bottom