List yangu ya movie/series bora za muda wote kutoka industries mbalimbali duniani

List yangu ya movie/series bora za muda wote kutoka industries mbalimbali duniani

Pasio kuitaja Six Flying Dragons na Iljimae bado hujui mambo
Kuna series ya kikorea niliwahi kuona ina episode 100 inahusu namna mfalme mmoja alivyokuwa anaanzisha lugha ya kikorea na kuondoa lugha ya kijapan.
Nimeisahau jina.
 
English series
1. Game of thrones
2. Prison break
3. Breaking bad
4. Blindspot


Korean Drama
1. Jumong
2. A man called god

Spanish series
1. Money heist

Indian movies
1. Movie yoyote ambayo yumo Aamir khana au Salman khan.
2. Baahubali the beginning na the conclusion


Nb: kama zitatokea kali kuliko hizo, basi zijengewe sanamu kila nchi duniani
SISU
 
Series korea bila kuitaja Innocent defendant bado ujui vitu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom