Chubbylady
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 621
- 1,018
English series
1. Game of thrones
2. Prison break
3. Breaking bad
4. Blindspot
Korean Drama
1. Jumong
2. A man called god
Spanish series
1. Money heist
Indian movies
1. Movie yoyote ambayo yumo Aamir khana au Salman khan.
2. Baahubali the beginning na the conclusion
Nb: kama zitatokea kali kuliko hizo, basi zijengewe sanamu kila nchi duniani
Bado haijawahi kutokea series kama hyoGame Of Thrones ndiyo series ya century... Baba lao, Sijawahi ona series kali kuizidi
Balaa hilo hyo nayo ndo best korean dramaCrash landing on you
Naunga mkono hoja movie za kitoto,Pamoja na squid game ni utopolo mtupu
Ile movie ni balaa sanaDangal ya mzee Amir khan[emoji119][emoji119] kwangu itakua the best movie ya kihind kwa muda wote
Hapo Indian Movies ongezea 3 IdiotsEnglish series
1. Game of thrones
2. Prison break
3. Breaking bad
4. Blindspot
Korean Drama
1. Jumong
2. A man called god
Spanish series
1. Money heist
Indian movies
1. Movie yoyote ambayo yumo Aamir khana au Salman khan.
2. Baahubali the beginning na the conclusion
Nb: kama zitatokea kali kuliko hizo, basi zijengewe sanamu kila nchi duniani
Yupo mzee baba Aamir KhanHapo Indian Movies ongezea 3 Idiots
Unapenda kuwa mwizi mkuu?! Hahahaaa...Mkuu samahan me nilikuwa naomba list ya movies zinazo husu wizi napenda sana yaan
A tree with a deep rootsKuna series ya kikorea niliwahi kuona ina episode 100 inahusu namna mfalme mmoja alivyokuwa anaanzisha lugha ya kikorea na kuondoa lugha ya kijapan.
Nimeisahau jina.
sanaaUnapenda kuwa mwizi mkuu?! Hahahaaa...
Yeah sure ndio yenyeweA tree with a deep roots
Kama sikosei lkn