Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #61
Endeleeni kumdanganya! Na mjue, nguvu alizonazo, ni kama samaki ndani ya maji. Baada ya uchaguzi wao, atakuwa ni kama samaki aliyepo nchi kavu!
Au siyo? February sio mbaliLISU hawezi kushindwa.
Mimi sijawahi kumpamba mtu Mkuu.
Angalia usijekuwa unatatizo la kumbukumbu
Kiongozi hapaswi kuona km hivyo unavyoona wewe kutoa majibu kukomesha sio wizi tu..uovu wa aina zote!Hakuna Njia ya Amani katika kusema kweli na HAKI.
Yaani watu wezi hutaki waibe utatuma Njia ipi ya Amani kuwafanya waache kuiba?
Au siyo? February sio mbali
Kiongozi hapaswi kuona km hivyo unavyoona wewe kutoa majibu kukomesha sio wizi tu..uovu wa aina zote!
Inawezekana..lkn wanaweza kuleta mabadiliko si lazima kwa confrotational means za Lissu..Watanzania wanahitaji siasa za ukondoo, hata wakiporwa kura zao wako kimya, wakifanyiwa lolote na viongozi wao wanalinda ukondoo wao tu.
Ndivyo unavyojua? Sawa..Njia Mojawapo ya kuondoa migogoro ni kuzusha migogoro
Ndivyo unavyojua? Sawa..
Sawa 👇👇LISU anatoboa zaidi ya asilimia 80 tupo hapa.
Wajumbe wengi hasa wa mikoani watampigia Kura.
Ambao hawatampigia Kura ni wajumbe maarufu ambao hawafiki hata robo ya wajumbe.
Ngoja utaona
..kuwa mazoba si kielelezo pekee kuonyesha hakuna njia nyingine kukabiliana na wadhalimu ccm, zipo..Njia zipi hizo, ni njia ipi ya kistaarabu haijatumika hadi sasa lakini ndio watu wanazidi kuonekana mazoba?
Hauko hivyo, ni subjective ya vitu vingi tu..Ndivyo utawala na uongozi ulivyo.
..kuwa mazoba si kielelezo pekee kuonyesha hakuna njia nyingine kukabiliana na wadhalimu ccm, zipo..
Ni jambo la kusubiri na kuona.Acha utani bhana
Hauko hivyo, ni subjective ya vitu vingi tu..
Kama ni kweli unachosema wasingekua waoga kwenye chaguzi,kuwe na tume huru ya uchaguzi isiyoteuliwa na Rais, CCM wanajua siasa zilivyokiua kuanzia 2010-2015 ndomana baada ya 2015 wakaua mifumo yote ya siasa za ushindani nchini. Ccm ni chama Kioga kwenye boksi la kura.Sio CCM, hatuna mbadala wa CCM!, hivyo CCM is the one and only.
P
Tutapata wapi wakati vyombo wa Dola vyote viko against CHADEMA kana kwamba Iddi Amini kahamia CHADEMA?hatuna mbadala wa CCM!
Mbowe ni Dereva wa Barabara ya Lami Tundu Lissu ni Dereva wa Rough Road Makorongo mashimo mahandaki anaweza.Mwamba apumzike akitaka atarejea siku za usoni.