Lisu atarudisha itikadi/Imani ya watu kwa CHADEMA. CHADEMA mpeni uenyekiti.

Mtu anayefuataga Sheria hawezi kukigawa chama
Tayari Moshi unafuka na makundi ndani ya chama yameshajionyesha, ile picha waliyopiga yeye na Mbowe na kusema hana nia ya kugombea uenyekiti ilikuwa imezima kelele za wengi na kuonyesha kuna muunganiko
 
Hiyo ndio demokrasia.
Makundi yapo wakati wa uchaguzi kila Mmoja akipambania mtu anayemuona anafaa. Baada ya uchaguzi Makundi yote yanafutwa chama kinabaki kimoja.

Hata CCM iko hivyohivyo
 
Sio kwa chadema tu, atarudisha imani iliyopotea tangu enzi za kina Slaa kwa upinzani tena!
 
Hiyo ndio demokrasia.
Makundi yapo wakati wa uchaguzi kila Mmoja akipambania mtu anayemuona anafaa. Baada ya uchaguzi Makundi yote yanafutwa chama kinabaki kimoja.

Hata CCM iko hivyohivyo
Tofauti ya CCM na vyama vya upinzani ni huwa linapofika suala la Uchaguzi wengi wao huweka tofauti pembeni na kupigania chama, hawa ndugu zetu wapinzani hiyo vita ndio itaendelea bila kikomo huku msajili wa vyama akichochea moto
 
Watakuwa vichwa maji basi.
 
Tundu Lissu bado ni activist anahitaji kukua zaidi kupewa uenyekiti.
 
Bila u-activist huwezi kukabiliana na CCM KAMWE
Tundu Lissu anafaa tu kuwa chini ya mtu lakini sio kuwa kiongozi wa kwanza kwenye chama au nchi. Lissu ana hulka za extremism ambazo ni hatari kwa chama. Hana diplomacy ambayo ni muhimu ndani na nje ya chama. Anafaa zaidi nafasi aliyopo na sio zaidi. Kuiondoa CCM ni sayansi zaidi kuliko activism.
 
Ifike hatua mbowe nae aachie ngazi.
Ccm wanampigia upatu mbowe maana wanajua ni kibaraka .
Ccm wanamuogopa lissu wanajua ni mwamba kwelikweli .
Siku ukisikia lissu akishinda uwenyekiti chadema, Lumumba hawatalala
 
Haahaa huo ni mtazamo Wako, mtu mpaka aliwahi chaguliwa na wanasheria wenzake kuwa rais wao sembuse uwenyekiti wa chadema? Lissu ndo turufu pekee iliyobaki chadema, nje ya hapo chadema ni kuungana na kina SAU, TLP na AFP Wakulima
 
Kiongozi yeyote ni mwanaharakati, usidanganyike.Kwani alipewaje umakamu?
Inahitajika balance ya mambo activism ni hatua za chini na zinapaswa kuchanganywa na diplomacy na upeo mkubwa wa kisiasa ili kupata kiongozi mzuri zaidi. Lissu anafaa zaidi kuwa rebel.
 
Mwamba apumzike akitaka atarejea siku za usoni.

Simba atunyooshee chama.

Tangu lini wapi kunakojali chawa wakaendekezwa?
Mbowe wampe uwenyekiti bodi ya wadhamini maana ni bingwa wa kutafuta pesa za chama
 
Haahaa huo ni mtazamo Wako, mtu mpaka aliwahi chaguliwa na wanasheria wenzake kuwa rais wao sembuse uwenyekiti wa chadema? Lissu ndo turufu pekee iliyobaki chadema, nje ya hapo chadema ni kuungana na kina SAU, TLP na AFP Wakulima
Kumbuka TLS ni zaidi activist party ndio maana akina Mwambukusi wanafaa sana huko.
 
Inahitajika balance ya mambo activism ni hatua za chini na zinapaswa kuchanganywa na diplomacy na upeo mkubwa wa kisiasa ili kupata kiongozi mzuri zaidi. Lissu anafaa zaidi kuwa rebel.
Mh, nini maana ya mwanaharakati ? Mbona kukariri kwingi boss, halafu rebel unajua maana yake?πŸ˜‚
 
Katiba ndio msingi wa uongozi
Kama Katiba itashindwa kudhibiti Tabia za viongozi kama uliyoitaja Basi inapaswa kurekebisha.

Mtu hapaswi kudhibitiwa na mtu mwingine. Mtu anatakiwa adhibitiwe kwa Sheria au Katiba
 
Mh, nini maana ya mwanaharakati ? Mbona kukariri kwingi boss, halafu rebel unajua maana yake?πŸ˜‚
Sio kila mwanaharakati ni politician na sio politician wote ni wanaharakati. Lissu yupo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…