Live CHADEMA inakufa Wakuu ,oneni hii ,CCM moto wa kuotea mbali

Live CHADEMA inakufa Wakuu ,oneni hii ,CCM moto wa kuotea mbali

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Kahama imesema No Reforms No Election


View: https://x.com/Twaha_Mwaipaya/status/1923772820057706620


Hapa Wananchi wakikichangia Chama Chao ili kife.

View: https://x.com/chacha_heche/status/1923776355302252998



Muachieni LISSU nyie wapumbavu, Mabadiliko haya ni ya lazima, ni ya Wananchi, LISSU mijumbe tu .

Hata afe LISSU Leo, Madai ya Wananchi yako palepale, yaaani Kwa Ufupi Watanzania wako kwenye Harakati za ukombozi wao !!.

Hata afe LISSU Leo, Madai ya Wananchi yako palepale, yaaani Kwa Ufupi Watanzania wako kwenye Harakati za ukombozi wao !!.💗💗💗
 
Back
Top Bottom