Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Unaishi sayari gani?Samia mwenyewe amewadharau kitambo sana......hapotezi hata pumzi kuwajibu wapumbavu. Na sasa hv Yuko zake Dodomaaa akihuisha taarifa zake tayari kwa uchaguzi wa mwezi oktoba. Mama la Mamama anapiga Dodoma kura mwaka huu.