Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
NRNE imebamba.
Tuendelee kuiombea TaifaNakuelewa Kaka mkubwa, kikubwa sala!
Imepamba moto kweli kweliNRNE imebamba.
Hehehe walishtukia janja janja za kina HecheCCM WALIFIKA KAHAMA NA KUFUNGA STENDI WALIJUA ABIRIA NDIO WANAJAZA UWANJA
Kabisa yaan watu 20 tu , chama kimejifiaaa Kifo kibayaKweli watu nawaona 20 tu
Imeshakufa zamani
Kahama imesema No Reforms No Election
View: https://x.com/Twaha_Mwaipaya/status/1923772820057706620
Hapa Wananchi wakikichangia Chama Chao ili kife.
View: https://x.com/chacha_heche/status/1923776355302252998
Muachieni LISSU nyie wapumbavu, Mabadiliko haya ni ya lazima, ni ya Wananchi, LISSU mijumbe tu .
Hata afe LISSU Leo, Madai ya Wananchi yako palepale, yaaani Kwa Ufupi Watanzania wako kwenye Harakati za ukombozi wao !!.
Nampongeza Rais Samia Kwa kuhakikisha CHADEMA inakufa 🤣Live CCM inakufa Hii oneni hii CDM Wakuu NI Moto WA kuotea Mbali .
TZ hatuna freedom of press image ukipost kama hivi kuna defender utaziona zimepaki karibu na nyumbani kwako mara Tu.
Kahama imesema No Reforms No Election
View: https://x.com/Twaha_Mwaipaya/status/1923772820057706620
Hapa Wananchi wakikichangia Chama Chao ili kife.
View: https://x.com/chacha_heche/status/1923776355302252998
Muachieni LISSU nyie wapumbavu, Mabadiliko haya ni ya lazima, ni ya Wananchi, LISSU mijumbe tu .
Hata afe LISSU Leo, Madai ya Wananchi yako palepale, yaaani Kwa Ufupi Watanzania wako kwenye Harakati za ukombozi wao !!.
Kahama imesema No Reforms No Election
View: https://x.com/Twaha_Mwaipaya/status/1923772820057706620
Hapa Wananchi wakikichangia Chama Chao ili kife.
View: https://x.com/chacha_heche/status/1923776355302252998
Muachieni LISSU nyie wapumbavu, Mabadiliko haya ni ya lazima, ni ya Wananchi, LISSU mijumbe tu .
Hata afe LISSU Leo, Madai ya Wananchi yako palepale, yaaani Kwa Ufupi Watanzania wako kwenye Harakati za ukombozi wao !!.
Samia mwenyewe amewadharau kitambo sana......hapotezi hata pumzi kuwajibu wapumbavu. Na sasa hv Yuko zake Dodomaaa akihuisha taarifa zake tayari kwa uchaguzi wa mwezi oktoba. Mama la Mamama anapiga Dodoma kura mwaka huu.Samia The Killer aongeze speed ya kuua. Idadi ya wahaini imekuwa kubwa mno!
Kahama imesema No Reforms No Election
View: https://x.com/Twaha_Mwaipaya/status/1923772820057706620
Hapa Wananchi wakikichangia Chama Chao ili kife.
View: https://x.com/chacha_heche/status/1923776355302252998
Muachieni LISSU nyie wapumbavu, Mabadiliko haya ni ya lazima, ni ya Wananchi, LISSU mijumbe tu .
Hata afe LISSU Leo, Madai ya Wananchi yako palepale, yaaani Kwa Ufupi Watanzania wako kwenye Harakati za ukombozi wao !!.
Mkuu unafikiri kuna Cha maana basi, wanafarijiana wenyeweMikusanyiko siyo idadi ya kura.Ushindi ni idadi ya kura.CHADEMA kazi yenu kushangilia mikusanyiko mkidhani ni ushindi.Bado ni wachanga sana kwenye siasa