Live CHADEMA inakufa Wakuu ,oneni hii ,CCM moto wa kuotea mbali

Live CCM inakufa Hii oneni hii CDM Wakuu NI Moto WA kuotea Mbali .


TZ hatuna freedom of press image ukipost kama hivi kuna defender utaziona zimepaki karibu na nyumbani kwako mara Tu.
 
Samia The Killer aongeze speed ya kuua. Idadi ya wahaini imekuwa kubwa mno!
 
Mikusanyiko siyo idadi ya kura.Ushindi ni idadi ya kura.CHADEMA kazi yenu kushangilia mikusanyiko mkidhani ni ushindi.Bado ni wachanga sana kwenye siasa
 
Samia The Killer aongeze speed ya kuua. Idadi ya wahaini imekuwa kubwa mno!
Samia mwenyewe amewadharau kitambo sana......hapotezi hata pumzi kuwajibu wapumbavu. Na sasa hv Yuko zake Dodomaaa akihuisha taarifa zake tayari kwa uchaguzi wa mwezi oktoba. Mama la Mamama anapiga Dodoma kura mwaka huu.
 
Uchaguzi upo pale pale asiyetaka kushiriki kaachonjo.Wavulugaji wa nchi ninyi
 
Mikusanyiko siyo idadi ya kura.Ushindi ni idadi ya kura.CHADEMA kazi yenu kushangilia mikusanyiko mkidhani ni ushindi.Bado ni wachanga sana kwenye siasa
Mkuu unafikiri kuna Cha maana basi, wanafarijiana wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…