Live CHADEMA inakufa Wakuu ,oneni hii ,CCM moto wa kuotea mbali

Samia mwenyewe amewadharau kitambo sana......hapotezi hata pumzi kuwajibu wapumbavu. Na sasa hv Yuko zake Dodomaaa akihuisha taarifa zake tayari kwa uchaguzi wa mwezi oktoba. Mama la Mamama anapiga Dodoma kura mwaka huu.
Unaishi sayari gani?
 
Mikusanyiko siyo idadi ya kura.Ushindi ni idadi ya kura.CHADEMA kazi yenu kushangilia mikusanyiko mkidhani ni ushindi.Bado ni wachanga sana kwenye siasa
Sidhani kama hao jamaa wanawaandaa wapiga-kura au watu ambao hawatopiga kura.

Mkakati hapa ni kuwaandaa watu ambao wataPINGA kura - watazuia uchaguzi!

Ngoja tungoje!

^We're very ready to pay the ultimate price!^ ~John Heche
 
Kuombaomba ni sifa ya kuwa mfu kiuchumi, kimaamuzi nk.
 
Mkuu unafikiri kuna Cha maana basi, wanafarijiana wenye

Sidhani kama hao jamaa wanawaandaa wapiga-kura au watu ambao hawatopiga kura.

Mkakati hapa ni kuwaandaa watu ambao wataPINGA kura - watazuia uchaguzi!

Ngoja tungoje!

^We're very ready to pay the ultimate price!^ ~John Heche
Kuzuia uchaguzi ni mkakati usioweza kutekelezeka sure I tell.Haijawahi KUTOKEA tangu nchi iumbwe.Watakaojaribu kuzuia wataumia sana siku hiyo.Mimi nawaonea huruma sana
 
Samia mwenyewe amewadharau kitambo sana......hapotezi hata pumzi kuwajibu wapumbavu. Na sasa hv Yuko zake Dodomaaa akihuisha taarifa zake tayari kwa uchaguzi wa mwezi oktoba. Mama la Mamama anapiga Dodoma kura mwaka huu.
Mama wa watu anaendelea na majukumu yake
 
Tayari tuna taarifa kuwa mnatumia picha za mwaka 2015 za Mzee Ngoyai.
 
Kuzuia uchaguzi ni mkakati usioweza kutekelezeka sure I tell.Haijawahi KUTOKEA tangu nchi iumbwe.Watakaojaribu kuzuia wataumia sana siku hiyo.Mimi nawaonea huruma sana
Unasema ni mkakati usioweza kutekelezeka kwa sababu HAUJAWAHI kufanyika?

Hiyo ndiyo sababu?

Lakini jamaa wanasema hawaogopi tena kuingia barabarani.

Wamejitolea kisawasawa kwa ajili ya vizazi vijavyo!

Itoshe tu kusema yajayo yanafurahisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…