Live CHADEMA inakufa Wakuu ,oneni hii ,CCM moto wa kuotea mbali

Unasema ni mkakati usioweza kutekelezeka kwa sababu HAUJAWAHI kufanyika?

Hiyo ndiyo sababu?

Lakini jamaa wanasema hawaogopi tena kuingia barabarani.

Wamejitolea kisawasawa kwa ajili ya vizazi vijavyo!

Itoshe tu kusema yajayo yanafurahisha.
Viongozi wao wanaovunja Sheria wanakamatwa mbona hawaendi kuandamana kuwatoa?Tunasikia matamko tu bila vitendo
 
I was stupid to trust and believe in Mbowe!
Mbowe ni TIS yule. Chama kilianzishwa na ccm lakini sasa kimerudi kwa wananchi. Asante CCM kwa kutusaidia kuianzisha CHADEMA. CCM hilo wanalijua sana. Pia CCM ilikuwa ya wananchi wakati wa nyerere na mwinyi sasa ni mali ya wana usalama. Ndo maana mtu mmoja ariduriki kusema tunatawaliwa na wana usalama na nilishanga sana
 
Viongozi wao wanaovunja Sheria wanakamatwa mbona hawaendi kuandamana kuwatoa?Tunasikia matamko tu bila vitendo
Mkuu, itoshe tu kusema labda watakuwa bado wanahesabu, ili wakimwangukia mtu basi yeyote asiwape lawama.

Umewahi kuusikia ule msemo mashuhuri wa wahenga: Kimya kingi kina kishindo?
 
Uhakika hili game lisha kaa mahala pake
 
Your browser is not able to display this video.
 
Naipongeza chadema kufikisha watu 48 waliohudhuria kwenye mkutano wao
Huu ni ukweli unaoumiza. Ni sahihi cdm kugomea kusaini chaguzi za kipuuzi maana wananchi wamewaelewa sana.
 
Mikusanyiko siyo idadi ya kura.Ushindi ni idadi ya kura.CHADEMA kazi yenu kushangilia mikusanyiko mkidhani ni ushindi.Bado ni wachanga sana kwenye siasa
Hatuzungumzii idadi ya kura fakii, tunazungumzia reforms, maana hata ccm haishindi kwa idadi ya kura, bali kwa ubakaji wa uchaguzi, wanabebwa na polisi, jeshi, tume, wakurugenzi wasimamizi nk, na zaidi sana chadema hawatashiriki huo uhuni munaoita uchaguzi, so no election because there will be no reform.
 
Hii ngoma ya One Love itapigwa marufuku siku sio nyingi. Kuwa inahamasisha chuki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapana, na ndiyo.

Nianze na "Ndiyo" -Mabadiliko ni ya wananchi, na Lissu ni Mjumbe sahihi kabisa katika wakati ulio sahihi.

Ndiyo - WaTanzania wako kwenye harakati za ukombozi wa nchi yao."

Uwepo wa Lissu katika wakati mwafaka kama huu wa ukombozi wa nchi ni muhimu sana. Ndiyo maana kwa kutojuwa wakadhani kumweka jela Lissu kutawapa nafuu; wakasahau kuwa maadam yungali hai, mapambano hayatavurugwa kwa njia yoyote. Kwa hiyo hii inaeleza "Hapana"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…