Wanajihangaisha ccm kuweka mapandikizi. Kama ya Mwambe iligo
ma, huyu anajisumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongea vitu logic jinsia ya mtu ina husika nini kwenye uongozi?Aisee ni Mimi sijaelewa au ?
Mnieleweshe yani Chadema hiihii ya m.kiti Mbowe ndo huyu mgombea mmama anataka kukiwakilisha chama ..?
Lakini chama hakiwezi kuishi with such a splendid isolation.TISS wanafanya kazi kwa ajili ya CCM. Siyo Tanzania , or for that matter Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna mwanasiasa asiye na njaa ?TISS ni agents was CCM. Huwezi kumwamini, hakuna cha itikadi Tanzania, ni tumbo, njaa tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm wanshangilia pandikizi lao
In God we Trust
Mkuu mbona unamtetea sana? Mbona hukumtetea Membe?Kukaa cello ndio sifa ya Chadema ?
Kila mwanachama ana haki ya kugombea haijalishi ana uwezo au hana uwezo wa kupata anachogombea.Naombea isiwe kama ya wakina Sumaye na Mwambe. Anatangaza nia kugombea nafasi ambayo kwa vyovyote vile hawezi kupata. Atakaposhindwa, analalamika kuwa mchezo mchafu umetumika kumnyima haki yake ya kugombea. Anahama chama, halafu anazunguka kukisema kuwa ametoka kwa sababu maisha yake yalikuwa hatarini na alikataa kutoa hongo ya ngono. Akifanya hivyo atakuwa hajawatendea haki watanzania na hasa wanawake wenzake. Akishindwa na kukubali kushindwa na kuunga juhudi za atakayeteuliwa kugombea na chama chake atajijengea heshima na sifa kubwa katika jamii.
Amandla...
Wachangiaji wengi wana mtazamo dume. Hata wauliza maswali yalikuwa ya kebehi. Du, inatisha kama siasa Tz ndivyo zilivyo. Niamini tu aidha ni ufukara wa kifikra au mfukoni.Ukiona mgombea Urais wa CHADEMA anatangazwa na Pasco jua tu hapo kuna mchezo...
Sumu haijaribiwi kwa kuionja, ngoja Mbowe amshughulikie.
Nchi hii ilishapotea kwenye kila sekta hivyo usishangae kukutana na watangazaji wasiojua hata misingi ya habariShukrani Mkuu P.
Kwakuwa katia nia, hongera zake.
Lakini,
Binafsi nina tatizo sana na hawa watangazaji wa hivi vipindi vya asubuhi, sijajua ni kitu gani kimewakumba. Ama sijui ndo 'cheap labour' sijui. Unaweza kuhisi labda unasikiliza kipindi cha 'mipasho' hivi. Hakuna uchambuzi wa maana, ushabiki umewajaa, hakuna flow ya mazungumzo full vurugu.
Zama zile ilikuwa ni source nzuri ya habari...kuna kitu kinakosewa pahala sio bure.
Nimeamua kusikiliza audio zangu ziwe ni nyimbo au vitabu.
Kwa usalama acha kiwe cha watoto na wala hatapata, atatupwa jalalaniKwani kuna mwanasiasa asiye na njaa ?
Chama hakitakiwi kuishi kwa tahadhari ya ajabu namna hiyo kuwa kila mwanachama ambaye ni mtumishi wa serikali kwenye taasisi nyeti basi ni pandikizi la ccm hii ni dhana potofu na inaweza kufanywa na chama kinachoongozwa na watoto tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona unamtetea sana? Mbona hukumtetea Membe?
Baadae asije kusema kaombwa kitu tu na Mbowe!
Mimi sijasema lazima apewe, nimesema mwacheni atangaze nia badala ya kuanza kumpaka mavi mapema namna hii mtakuwa hamna tofauti na siasa za majitaka za ccm.Kwa usalama acha kiwe cha watoto na wala hatapata, atatupwa jalalani
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni agent was CCM kupitia TISS, hapo CCM mmepotea tens. Jaribu wengineWachangiaji wengi wana mtazamo dume. Hata wauliza maswali yalikuwa ya kebehi. Du, inatisha kama siasa Tz ndivyo zilivyo. Niamini tu aidha ni ufukara wa kifikra au mfukoni.