Live from EA Radio Super Breakfast: Mtangaza Nia Urais wa JMT Kupitia Chadema, Dr. Mayrose Majinge Yuko Live, Mubashara

Live from EA Radio Super Breakfast: Mtangaza Nia Urais wa JMT Kupitia Chadema, Dr. Mayrose Majinge Yuko Live, Mubashara

TISS wanafanya kazi kwa ajili ya CCM. Siyo Tanzania , or for that matter Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini chama hakiwezi kuishi with such a splendid isolation.

Ni ngumu kutokuwa na wanachama wa aina hiyo kwenye chama kikubwa kama CHADEMA na yawezekana wakawa loyal kwa chama kuliko Lijualikali na Silinde.

Chama cha CHADEMA lazima mjifunze kuwa chama kikubwa ambacho kwa vyovyote vile ni lazima kifanye recruitment ya wanachama kutoka kwenye taasisi muhimu za serikali kama hiyo pamoja na jeshini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TISS ni agents was CCM. Huwezi kumwamini, hakuna cha itikadi Tanzania, ni tumbo, njaa tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna mwanasiasa asiye na njaa ?

Chama hakitakiwi kuishi kwa tahadhari ya ajabu namna hiyo kuwa kila mwanachama ambaye ni mtumishi wa serikali kwenye taasisi nyeti basi ni pandikizi la ccm hii ni dhana potofu na inaweza kufanywa na chama kinachoongozwa na watoto tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani Mkuu P.

Kwakuwa katia nia, hongera zake.

Lakini,

Binafsi nina tatizo sana na hawa watangazaji wa hivi vipindi vya asubuhi, sijajua ni kitu gani kimewakumba. Ama sijui ndo 'cheap labour' sijui. Unaweza kuhisi labda unasikiliza kipindi cha 'mipasho' hivi. Hakuna uchambuzi wa maana, ushabiki umewajaa, hakuna flow ya mazungumzo full vurugu.

Zama zile ilikuwa ni source nzuri ya habari...kuna kitu kinakosewa pahala sio bure.

Nimeamua kusikiliza audio zangu ziwe ni nyimbo au vitabu.
 
Naombea isiwe kama ya wakina Sumaye na Mwambe. Anatangaza nia kugombea nafasi ambayo kwa vyovyote vile hawezi kupata. Atakaposhindwa, analalamika kuwa mchezo mchafu umetumika kumnyima haki yake ya kugombea. Anahama chama, halafu anazunguka kukisema kuwa ametoka kwa sababu maisha yake yalikuwa hatarini na alikataa kutoa hongo ya ngono. Akifanya hivyo atakuwa hajawatendea haki watanzania na hasa wanawake wenzake. Akishindwa na kukubali kushindwa na kuunga juhudi za atakayeteuliwa kugombea na chama chake atajijengea heshima na sifa kubwa katika jamii.

Amandla...
Kila mwanachama ana haki ya kugombea haijalishi ana uwezo au hana uwezo wa kupata anachogombea.

Kama mnatumia kigogo kama authoritative source ya taarifa kwa wanachama wenu then you are lost.

Huyo mama aachwe agombee mchakato ukifika tutajua chama kitampitisha au lah badala ya kuanza kumpaka mavi mapema namna hii.

Mtajitofautisha na siasa za majitaka za ccm kama hata wanachama wenu wa ndani hamuwaamini ?

Mwacheni agombee ndiyo demokrasia yenyewe awe TISS au whatever itajulikana her hidden intentions lakini siyo kuanza kumbagaza na vitu vya kusadikika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mgombea Urais wa CHADEMA anatangazwa na Pasco jua tu hapo kuna mchezo...

Sumu haijaribiwi kwa kuionja, ngoja Mbowe amshughulikie.
Wachangiaji wengi wana mtazamo dume. Hata wauliza maswali yalikuwa ya kebehi. Du, inatisha kama siasa Tz ndivyo zilivyo. Niamini tu aidha ni ufukara wa kifikra au mfukoni.
 
Shukrani Mkuu P.

Kwakuwa katia nia, hongera zake.

Lakini,

Binafsi nina tatizo sana na hawa watangazaji wa hivi vipindi vya asubuhi, sijajua ni kitu gani kimewakumba. Ama sijui ndo 'cheap labour' sijui. Unaweza kuhisi labda unasikiliza kipindi cha 'mipasho' hivi. Hakuna uchambuzi wa maana, ushabiki umewajaa, hakuna flow ya mazungumzo full vurugu.

Zama zile ilikuwa ni source nzuri ya habari...kuna kitu kinakosewa pahala sio bure.

Nimeamua kusikiliza audio zangu ziwe ni nyimbo au vitabu.
Nchi hii ilishapotea kwenye kila sekta hivyo usishangae kukutana na watangazaji wasiojua hata misingi ya habari

Role model wao ndiyo hawa wa kusifu na kuabudu kina Paschal Mayalla utapata wapi cream ya waandishi wa habari?
 
Kwani kuna mwanasiasa asiye na njaa ?

Chama hakitakiwi kuishi kwa tahadhari ya ajabu namna hiyo kuwa kila mwanachama ambaye ni mtumishi wa serikali kwenye taasisi nyeti basi ni pandikizi la ccm hii ni dhana potofu na inaweza kufanywa na chama kinachoongozwa na watoto tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa usalama acha kiwe cha watoto na wala hatapata, atatupwa jalalani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa usalama acha kiwe cha watoto na wala hatapata, atatupwa jalalani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijasema lazima apewe, nimesema mwacheni atangaze nia badala ya kuanza kumpaka mavi mapema namna hii mtakuwa hamna tofauti na siasa za majitaka za ccm.

Siasa za kupakana shombo hazina tija yoyote kwa taifa na wala hazitakiwi kufanywa na chama makini kama CHADEMA.

Au mmeshaondoka kwenye hii grade ya chama makini kinachoheshimu utu wa watu kwa mujibu wa ibara yenu ya 3 ya katiba ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom