Rugemeleza
JF-Expert Member
- Oct 26, 2009
- 668
- 136
Vizuri sana Ceasar's wife is beyond reproach (mke wa kaisari hatakiwi kutuhumiwa akituhumiwa ni lazima aachwe) lakini si kwa CCM wao wanakumbatia watu wenye madhambi.Mzee mramba is out confirmed, nafuatilia source na figure Hongera watu wa ROMBO kwa uamuzi sahihi
vizuri sana ceasar's wife is beyond reproach (mke wa kaisari hatakiwi kutuhumiwa akituhumiwa ni lazima aachwe) lakini si kwa ccm wao wanakumbatia watu wenye madhambi.
Mbona hapo patamu arudi TOT kuimba lakini hakutakuwa na wakumsiliza tena.Habari nilizozipata kutoka kwa mtu wangu karibu kutoka Songea ni kuwa Komba chali, habari zaidi nitazimwaga hapa
Sehemu ambayo sikuweka CUF maana yake ni kuwa hawakupata kura hata 1.
Mbona hapo patamu arudi TOT kuimba lakini hakutakuwa na wakumsiliza tena.
Kituo cha Nkuza: Kwa Mathias (Pwani)
Urais
CCM = 502
CHADEMA = 311
Ubunge.
CCM = 63
CHADEMA = 100
Kituo cha Mkoani
Urais.
CCM = 101
CHADEMA = 90
CUF = 1
Ubunge
CCM = 82
CHADEMA = 107
CUF = 2
Kilombero bado Regia Mtema anaongoza (ITV wametaja kata 4) na kwamba Slaa anaongoza kata 3.
Kisarawei CCM inaongoza ngazi zote, urais, ubunge na udiwani.
Huko nadhani wamejaa majuha tu!
Huko nadhani wamejaa majuha tu!
https://www.jamiiforums.com/results-matokeo/82474-jf-exclusive-election-2010-results-general.html
Mambo ya mzee Max Melo for all exclusive election 2010 results. Hongera JF Leo hakuna kulala wazee
Meale said:haya ni matokeo ya baadhi za kata za udiwani katika jimbo la Karatu.
1. Dar - Chadema
2. Rhotia - Chadema
3. Karatu - Chadema
4. Qurus - Chadema
5. Endamarariek - Chadema
6. Oldean - Chadema
7. Kansay - Chadema
8. Ganako - Chadema
9. Endamagha - Chadema
10. Baray - CCM
11. Barazani - Chadema
Bado kata tatu matokeo yake hayajapatikana. Suala la Ubunge naambiwa mgombea ubunge na urais wa Chadema wanaongoza japo sijajua idadi yake. Naona wafuasi wa Chadema wapo katika ofisi za Chadema wilaya wakiendelea kushangilia ushindi kwa raha zao. Huku ofisi ya CCM ikiwa imepooza kama vile hakukuwa