haya ni matokeo ya baadhi za kata za udiwani katika jimbo la Karatu.
1. Dar - Chadema
2. Rhotia - Chadema
3. Karatu - Chadema
4. Qurus - Chadema
5. Endamarariek - Chadema
6. Oldean - Chadema
7. Kansay - Chadema
8. Ganako - Chadema
9. Endamagha - Chadema
10. Baray - CCM
11. Barazani - Chadema
Bado kata tatu matokeo yake hayajapatikana. Suala la Ubunge naambiwa mgombea ubunge na urais wa Chadema wanaongoza japo sijajua idadi yake. Naona wafuasi wa Chadema wapo katika ofisi za Chadema wilaya wakiendelea kushangilia ushindi kwa raha zao. Huku ofisi ya CCM ikiwa imepooza kama vile hakukuwa