Live Updates NBC Playoff: Mbeya City Vs Mashujaa-Kigoma

Mpaka sasa mbeya city anaongoza goli mbili
Si kweli
Screenshot_20230624-172200.jpg
 
  • Thanks
Reactions: K11
Mbeya City wamenyimwa goli halali kabisa, kama sio bahasha ya kaki kwa mwamuzi basi ni uchawi mtupu
Usilalamike. Kama timu ya daraja la kwanza inaweza kuwa na uwezo kuhonga kuliko timu ya ligi kuu basi mbeya city hastahili kuwa ligi kuu. Sometimes mkubwa anapimwa kwa vyote, kushinda kwa uwezo ila fitna pia
 
Tuleteeni live update sisi tulioko huku Buhigwe, Mwandiga, Kasulu na Kakonko tujue timu yetu ya Taifa la Kigoma imefikia hatua gani kuingia ligi kuu.
 
Mashujaa wameshapigwa goli kama tatu za chapchap
 
Tuleteeni live update sisi tulioko huku Buhigwe, Mwandiga, Kasulu na Kakonko tujue timu yetu ya Taifa la Kigoma imefikia hatua gani kuingia ligi kuu.
Fungua redio tanzania wanatangaza mechi
 
Tuleteeni live update sisi tulioko huku Buhigwe, Mwandiga, Kasulu na Kakonko tujue timu yetu ya Taifa la Kigoma imefikia hatua gani kuingia ligi kuu.
Zimebaki dk 22 kucheza ligi kuu Tanzania bara
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom