Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
Nchi ina wizara na wizara Ina bajeti yake... Watoe bajeti watangaziwe hakuna kitu Cha bure hapa Duniani. Zama za kijinga zibaki kwq Simba sio kwa yanga.Simba wanaenda kupita mule mule Yanga walipoteleza.
Yanga kujibrand kama "timu ya wananchi" ilikuwa bonge la idea ila baadae kuja kusema hatuwezi kuitangaza nchi kimataifa mpaka tulipwe imeitia doa brand yao. Walijaribu kujirudi kwenye ile barua yao ila utetezi wao kuwa hawakuwa approached na wamiliki wa Visit Tanzania ni hoja isiyo na mashiko.
Simba wanaenda kuwaadhibu kwa kosa hili na kuwanyang'anya hoja ya kuwa timu ya wananchi.