Live Updates: UD Songo Vs Simba SC, CAF Championship

Wachezaji wangu leo sijui wana nini leo jamani, wamekuwa wazito kupita kiasi .. But all in all mungu mkubwa hatujafungwa
 
Kwa leo simba wanacheza kama mlandege au malindi hakuna shambulio lolote lile walilonionesha mpka sasa ila hawa ud songo wamekosa tu umakini kwani mpka kipindi cha pili kinaisha kama wangekuwa makini basi simba wangeshaogelea goli 3+
 
Hawa Songo wanakosa umakini , sasa 2nd half tunawalamba
 
Leo simba wanacheza mpira wa kijinga sana huu.
Hapo midfield wamtoe Mkude au huyo Msudani wanapoteza mipira kijinga kijinga sana.
Halafu nani acheze holding...toa msudani au kahata apo
 
Leo chama silielewi kabisaa...yaani wamecheza chini ya kiwango!
 
Wapi ibrahim Ajibu mbona hasemwi semwi..
 
Kwa leo simba wanacheza kama mlandege au malindi hakuna shambulio lolote lile walilonionesha mpka sasa ila hawa ud songo wamekosa tu umakini kwani mpka kipindi cha pili kinaisha kama wangekuwa makini basi simba wangeshaogelea goli 3+
Hii Champions league tunacheza vipindi vitatu kumbe???

Vyura bila maji lazima wafe kwa ukame
 
Hii Game Mungu saidia tu,
Timu ipo ipo tu, first half wamecheza fyongo Sana
 
Inshallah ushindi ni kwa simba,,msiwe na hofu walume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…