Live Updates: UD Songo Vs Simba SC, CAF Championship

Bora hata sare mliyoipata kwenu ni maafanikio makubwa! maana msimu uliopita, mlikuwa mnabamizwa 5/5 tu kila mechi. Najua mechi ya marudiano mtakamia tu show mwanzo mwisho na hivyo kufanikiwa kwenda raundi ya pili.

Hongereni kwa sare. Ngoja tuwaone sasa na Wa kimataifa/aka timu ya wananchi nao kama wata waadhibu makhirikhiri goli ngapi.
 
Wapinzani wana press sana viungo wetu hawapati muda wa kukaa na mpira
Hawa jamaa wako fasta sana, hawakuruhusu ukae na mpira muda mrefu,. Nafikiri home advant nayo imewabeba.
 
Hivi nyie Mikia mbona mnapenda kutuiga sana? Tulianza kujiita Wa Kimataifa mkaiga tukawaachieni, leo hii tumekuja na Timu ya Wananchi mmeiga pia. Umizeni vichwa mbumbumbu nyie.
Subiri upigwe nipo kwa mkapa hapa vyura mko wachache hata theluthi ya idadi mliyoingiza siku ya vyura haitoshi
 
Kwa nini UD Songo wasubiri hadi mechi ya marudiano kuleta hilo balaa? Wanakwama wapi kumaliza game kabisa wakiwa home kwao?
Wale jamaa niliona kama awataki kufunga goli nyepesi wenyewe kila wakipata nafasi yakufunga wanatandika mishuti mikubwa kweli kwamba kipa akidaka avunjike mikono mwisho www wasiku mipira inaishia kupaa juu ya lango. Jamaa wangekuwa serious simba alikuwa anakufa nne mtungi.
 
Kweli kiongozi, simba yangu leo sijaielewa
 
Sawa mchambuzi, hebu basi tuchambulie na kinachotokea Kwa Mkapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…