tunakimbiza mwizi kimya kimyaTumebidi tuwaanzishie thread coz tunaona kimya
acha uchawiNawaombea wadraw tuu
Mungu atawabariki wananchiMungu wabariki mtibwa ameen 🙏
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]Bora mkuu umejitolea kuanzisha uzi wa mechi ya leo manake Uto wamesusa hawataki hata kutujuza yanayojiri uwanjani kwenye mechi zao.