arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,166
- 4,005
Naona mmeamua kugawana mbaoDiaz hajawa mtulivu
Elliot hajawa mtulivu.
Hao wachezaji wawili wanatosha kuwachinja hawa city vizuri kabisa.
Mbona una hasira sana...shida nn π€ π€Kama kawaida yenu wazee wa matumaini hewa
Si uliona Salah hakuwepoNyie mmeniangusha sana mjue? Mmemwachaje City atoke na sare pale Anfield?
Mlikuwa na uwezo wa kushindaSi uliona Salah hakuwepo
Mechi kama ya Jana ndio unaona nguvu ya Pharaoh
Kwhyo yule aloingia dakika ya 63 ulikuwa mzimu wake sio π€ π€Si uliona Salah hakuwepo
Mechi kama ya Jana ndio unaona nguvu ya Pharaoh
Thomas Frank umewahi msikia? 22/23Kwa akili ya kawaida unaamini utampiga Kipara pale Etihad?
Hivi ukitoa Klopp aliyempiga City nje ndani kwenye UCL kuna Kocha mwengine aliyewahi kumpiga Kipara nje ndani?
Anaangalia mpira Livescore uyo kama olachugaKwhyo yule aloingia dakika ya 63 ulikuwa mzimu wake sio π€ π€
Unavyoandika kwa confidence ni kama ulitazama mechi yenyeweSi uliona Salah hakuwepo
Mechi kama ya Jana ndio unaona nguvu ya Pharaoh
Mzimu wake huoKwhyo yule aloingia dakika ya 63 ulikuwa mzimu wake sio π€ π€
Nimetazama marudioUnavyoandika kwa confidence ni kama ulitazama mechi yenyewe
UnawatishaDear arsenalians, mwambieni bro arteta akiikamia mechi na pep na kujifanya kufunguka kama sisi liver tunavyoweza kufunguka throughout the game , hakika mnakufa 1st half. Kiungo yenu ya kati kwenye makaratasi wanaonekana wako vizuri ku absorb pressure impact ya mashambulizi ila kwa viungo wa mancity hamtambi kabisa. Na mkijifanya mna defense throughout hakika kitakachowakuta .... Ile gemu ya brentford iliwapa funzo technically . Kama hamkujifunza , basi mtajifunza in a hard way.
Mnaanza kutupangia na namna ya kucheza nao...tukifunguka mnasema tutafungwa..tukikaa nyuma tutafungwa..Sasa tuchezaje ndugu zetuπ€ π€ ..basi hatutaingiza timu uwanjani Ili hayo yte tusiyafanyeDear arsenalians, mwambieni bro arteta akiikamia mechi na pep na kujifanya kufunguka kama sisi liver tunavyoweza kufunguka throughout the game , hakika mnakufa 1st half. Kiungo yenu ya kati kwenye makaratasi wanaonekana wako vizuri ku absorb pressure impact ya mashambulizi ila kwa viungo wa mancity hamtambi kabisa. Na mkijifanya mna defense throughout hakika kitakachowakuta .... Ile gemu ya brentford iliwapa funzo technically . Kama hamkujifunza , basi mtajifunza in a hard way.
yeap arteta ana safari ndefu ya kujifunza ili kui challenge ile kiungo ya kati ya mancity. Akijidai ana kaza fuvu 3+ zinamhusu.Unawatisha
Mashabiki wa Arsenal wanaichukulia mechi kiwepesi baada ya kuona moto uliowashwa na Liverpool jana
Na kocha wao akijidanganya hivyo amekwisha
ishu sio kudefense au kufunguka . Ishu ni pale arteta anapoikamia gemu. Hizo option mbili lazima zitamkataa mapema. Fanya hivi , angalia wolves huwa wanachezaje na mancity .Mtapata cha kujifunza .Mnaanza kutupangia na namna ya kucheza nao...tukifunguka mnasema tutafungwa..tukikaa nyuma tutafungwa..Sasa tuchezaje ndugu zetuπ€ π€ ..basi hatutaingiza timu uwanjani Ili hayo yte tusiyafanye
Ww nani kakuambia kama atakamia gemu...wacha siku ifike tactics ndo zitakazoamua gemu...mbona kama mnaweweseka sana ndugu zetu...mmezoea kukaa pale juu kwa muda Sasa...izoeeni nafasi ya pili kidogo...vungeni hapo kwanzaishu sio kudefense au kufunguka . Ishu ni pale arteta anapoikamia gemu. Hizo option mbili lazima zitamkataa mapema. Fanya hivi , angalia wolves huwa wanachezaje na mancity .Mtapata cha kujifunza .
Ww nani kakuambia kama atakamia gemu...wacha siku ifike tactics ndo zitakazoamua gemu...mbona kama mnaweweseka sana ndugu zetu...mmezoea kukaa pale juu kwa muda Sasa...izoeeni nafasi ya pili kidogo...vungeni hapo kwanza
Muulize uyo pep mzunguko wa kwanza nini kilitokea akapoteza mechi?Dear arsenalians, mwambieni bro arteta akiikamia mechi na pep na kujifanya kufunguka kama sisi liver tunavyoweza kufunguka throughout the game , hakika mnakufa 1st half. Kiungo yenu ya kati kwenye makaratasi wanaonekana wako vizuri ku absorb pressure impact ya mashambulizi ila kwa viungo wa mancity hamtambi kabisa. Na mkijifanya mna defense throughout hakika kitakachowakuta .... Ile gemu ya brentford iliwapa funzo technically . Kama hamkujifunza , basi mtajifunza in a hard way.