arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,166
- 4,005
Naona mmeamua kugawana mbaoDiaz hajawa mtulivu
Elliot hajawa mtulivu.
Hao wachezaji wawili wanatosha kuwachinja hawa city vizuri kabisa.
Mbona una hasira sana...shida nn 🤠ðŸ¤Kama kawaida yenu wazee wa matumaini hewa