Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dear arsenalians, mwambieni bro arteta akiikamia mechi na pep na kujifanya kufunguka kama sisi liver tunavyoweza kufunguka throughout the game , hakika mnakufa 1st half. Kiungo yenu ya kati kwenye makaratasi wanaonekana wako vizuri ku absorb pressure impact ya mashambulizi ila kwa viungo wa mancity hamtambi kabisa. Na mkijifanya mna defense throughout hakika kitakachowakuta .... Ile gemu ya brentford iliwapa funzo technically . Kama hamkujifunza , basi mtajifunza in a hard way.
 
Unawatisha

Mashabiki wa Arsenal wanaichukulia mechi kiwepesi baada ya kuona moto uliowashwa na Liverpool jana

Na kocha wao akijidanganya hivyo amekwisha
 
Dear arsenalians, mwambieni bro arteta akiikamia mechi na pep na kujifanya kufunguka kama sisi liver tunavyoweza kufunguka throughout the game , hakika mnakufa 1st half. Kiungo yenu ya kati kwenye makaratasi wanaonekana wako vizuri ku absorb pressure impact ya mashambulizi ila kwa viungo wa mancity hamtambi kabisa. Na mkijifanya mna defense throughout hakika kitakachowakuta .... Ile gemu ya brentford iliwapa funzo technically . Kama hamkujifunza , basi mtajifunza in a hard way.
Mnaanza kutupangia na namna ya kucheza nao...tukifunguka mnasema tutafungwa..tukikaa nyuma tutafungwa..Sasa tuchezaje ndugu zetu🤠🤠..basi hatutaingiza timu uwanjani Ili hayo yte tusiyafanye
 
Games Liverpool players have missed through injury this season:

🚑 Thiago: 43
🚑 Bajcetic: 37
🚑 Matip: 23
🚑 Robertson: 21
🚑 Bradley: 20
🚑 Doak: 20
🚑 Alexander-Arnold: 14
🚑 Jota: 14
🚑 Jones: 11
🚑 Alisson: 10
🚑 Salah: 10
🚑 Szoboszlai: 10
🚑 Tsimikas: 9
🚑 Mac Allister: 6
🚑 Gravenberch: 5
🚑 Konate: 5
🚑 Nunez: 3
🚑 Gakpo: 3
🚑 Kelleher: 2
🚑 Gomez: 1
🚑 Endo: 1

A combined 268 games. What we’ve done this season has been genuinely incredible.
 
Mnaanza kutupangia na namna ya kucheza nao...tukifunguka mnasema tutafungwa..tukikaa nyuma tutafungwa..Sasa tuchezaje ndugu zetu🤠🤠..basi hatutaingiza timu uwanjani Ili hayo yte tusiyafanye
ishu sio kudefense au kufunguka . Ishu ni pale arteta anapoikamia gemu. Hizo option mbili lazima zitamkataa mapema. Fanya hivi , angalia wolves huwa wanachezaje na mancity .Mtapata cha kujifunza .
 
Ww nani kakuambia kama atakamia gemu...wacha siku ifike tactics ndo zitakazoamua gemu...mbona kama mnaweweseka sana ndugu zetu...mmezoea kukaa pale juu kwa muda Sasa...izoeeni nafasi ya pili kidogo...vungeni hapo kwanza
 
IMG-20240311-WA0005.jpg
 
Wala hatuna kuweweseka kama nyie ndugu zetu katika imani. Acha tuone. Uzuri mmoja hapa tutakutana
Ww nani kakuambia kama atakamia gemu...wacha siku ifike tactics ndo zitakazoamua gemu...mbona kama mnaweweseka sana ndugu zetu...mmezoea kukaa pale juu kwa muda Sasa...izoeeni nafasi ya pili kidogo...vungeni hapo kwanza
 
Dear arsenalians, mwambieni bro arteta akiikamia mechi na pep na kujifanya kufunguka kama sisi liver tunavyoweza kufunguka throughout the game , hakika mnakufa 1st half. Kiungo yenu ya kati kwenye makaratasi wanaonekana wako vizuri ku absorb pressure impact ya mashambulizi ila kwa viungo wa mancity hamtambi kabisa. Na mkijifanya mna defense throughout hakika kitakachowakuta .... Ile gemu ya brentford iliwapa funzo technically . Kama hamkujifunza , basi mtajifunza in a hard way.
Muulize uyo pep mzunguko wa kwanza nini kilitokea akapoteza mechi?
 
Back
Top Bottom