Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karate na Judo ina faida gani kwenye mafunzo ya kidini?Dab...
Shutuma hizo ulizotoa zingeweza kutusaidia endapo pangekuwa na ushahidi kuwa kesi zilizopo mahakamani za ''chembelecho,'' vibaka zingeonyesha kuwa watuhumiwa wengi wametokea kwenye misikiti wanayofunza karate.
Kwahiyo judo zinafanyika misikitini una akili kijiko nguruwe wewe!Tuweke udini pembeni
Je Watanzania hawapaswi kujifunza karate na judo? Je mbinu za kujilinda ni kinyume na sheria za nchi? Hizi tahariko tunazobabatizwa nazo kila mara kwa jina la ulinzi na usalama, kwa nini serikali isipeleke mamluki wake hapo nao wakajifunza hayo mafunzo ili kuyachuja kama ni hatari kwa jamii? Naona badala yake ni hizi Kamati za Ulinzi na Usalama zimejikita kwenye kupambania taharuki kuliko kutumia weledi na akili kudeal na haya mambo
Mzee mpumbavu kama wewe ni laanaKek...
Historia ya Nigeria si sawa na historia ya Tanganyika.
Nimeweka hapa historia kwa maneno na picha jinsi Mwalimu Julius Nyerere alivyopokelewa na Waislam.
Nimeeleza umoja uliojengwa na TANU hadi uhuru ukapatikana kwa salama.
Swali la kujiuliza na mara kadhaa nimeuliza lakini sijajibiwa.
Hapa tulipo leo tumefikaje?
Katika kitu nilichomkubali kikwete ni hiki, akiona mbali sana,licha ya yeye kua muislam lakini kipindi kile aliona akicheka na nyani atavuna mabua, ma sheikh wa uamsho Kule Zanzibar na bara wakawekwa kizuizini
Mpaka lini nasema angefanya haya rais mkristo ingekua nongwa kweli, lakini Hali ilikua mbaya mpaka mwenzao akaona haivumiliki
Kwa Mzee magu, walianza chokochoko kibiti, Mzee Magu ujinga ndo hua hataki hata kidogo, Kuna operation ilifanyika kule Yani hata ukihisiwa umeenda.... Wakaona huyu Msukuma sio wa kucheza nae wakaacha huo ujinga
Kaja sasa kiguu na njia, panya wanatoka mashimoni Kila mtu ni kujitawala tu
Tuweke udini pembeni
Je Watanzania hawapaswi kujifunza karate na judo? Je mbinu za kujilinda ni kinyume na sheria za nchi? Hizi tahariko tunazobabatizwa nazo kila mara kwa jina la ulinzi na usalama, kwa nini serikali isipeleke mamluki wake hapo nao wakajifunza hayo mafunzo ili kuyachuja kama ni hatari kwa jamii? Naona badala yake ni hizi Kamati za Ulinzi na Usalama zimejikita kwenye kupambania taharuki kuliko kutumia weledi na akili kudeal na haya mambo
Hata mwanza huku wapo sema sijui kituo kilipo ..nishawahi wakuta wanakimbia peku kwenye lamii..yawezkana ndo mafunzo hayo hayo wanapewaNamanga Islamic Centre ni kituo cha mafunzo ya siasa kali na mafunzo ya mapigano(KARATE, Judo, Taekwando n.k) kilichokuwa chini ya Dini ya Kiislam katika Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha.
Kituo hiki ni cha pili kufungwa baada ya kile cha Dodoma ambapo mabinti wasiopungua 150 walikuwa wamefungiwa kituoni na kupewa mafunzo mbalimbali ya kidini.
Vituo vyote viwili vimefungwa rasmi na kamati za ukinzi na usalama za Mikoa na Wilaya husika kwani vipo kinyume na utaratibu na vinatishia usalama wa nchi.
Hali kama hii ilikuwa nchini Nigeria ambapo serikali iliacha pale ilipokuwa ikipewa taarifa kuhusu mafunzo yanayotolewa na Boko haram kwa vijana wa nchi hiyo. Madhara yake ni kuanzishwa kwa kundi la kigaidi la Boko Haram lililosumbua na kuharibu usalama wa nchi ya Nigeria.
Hapa Nchini, kulitokea vuguvugu za itikadi kali na ugaidi kule Pwani pamoja na Mtwara. Sisi kama watanzania, tuna wajibu wa kutoa taarifa kuhusu vyuo au vituo hivi vinavyotoa mafunzo ya mapigano na itikadi kali.
Mimi kama Mtanzania, ninaanza kukitaja kituo cha mafunzo ya mapigano na itikadi kali kilichopo kwenye Msikiti wa Ipogolo pale Iringa Manispaa pamoja na Msikiti uliopo kwenye Kijiji cha Kitayawa njia panda ya Nyabula Wilaya ya Iringa Mkoa wa Iringa.
Misikiti/Vituo hivi hufundisha vijana wa kiislam itikadi kali na mapigano na mara nyingi kama unaenda kule Nyabula toka Iringa Mjini, utakuta vikundi vya vijana hao waliovaa kanzu na viremba kichwani wakitembea kwa miguu na wakifanya mazoezi.
Naamini JF ni Platform kubwa nchi hii, kutaja kwako vituo hivi vitasaidia kulinda usalama na amani ya nchi yetu. Ewe mwana JF, funguka kwa ajili ya Mama yetu Tanzania.
Mungu ibariki Tanzania, Eeehh Mungu ilinde na itetee Mama yetu Tanzania.
Umeongea ukweli mtupuNigeria walipuuzia hayo mafunzo. Yamekuja kuwatesa sana mbeleni. Boko haram ilianza kama utani.
Hao vijana kiislam wanaitwa المُهَاجِرْ "al-Muhājir,"
Wanachukuliwa kutoka kwa wazazi wao toka wadogo wanapelekwa mbali na nyumbani kwao kambini na kuanza kufundishwa uislamu tu wenye siasa kali.. hawatakiwi kusoma elimu dunia maana itawafanya wajanjaruke.
Hao ndio wanatumika kwenye kujitoa muhanga. Maana uislam unakuwa ume wa brain wash wamefanyiwa indocrinations. Hawaogopi kufa hao. Wao jukumu lao ni kupigania dini
Nigeria boko haram ndio inatumia hao vijan waliopitia mafunzo ya al-Muhājir .. wanawekwa kambini mbali na nyumbani kwao wanafundishwa siasa kali za uislam.
Wikipedia imeandika muanzilishi wa Boko haram Sheikh Muhammad Yusuf was a graduate of the Almajiri Madrassa who did not had the opportunity to attend the formal education.
Wazazi wa hao vijana ni wale waislamu maskini.. wasio na exposure. Na unajua waislamu wanazaliana sana sababu ya ndoa zao za mitala na kupeana talaka na kuoa upya kila mara. Hivyo unakuta baba ana watoto 20 ila kuwahudumia wala kuwasomesha hawezi.. hivyo huyo mzee anafosi watoto wapelekwe kambi za المُهَاجِرْ "al-Muhājir," wakafundishwe uislamu huku wanakula chakula cha bure.
Huwezi kukuta mtoto wa muislamu mwenye maisha huko. Mfano kikwete ama bakhressa watoto wake hawajui hata maana ya al-Muhājir ni nini japo ni waislamu
Mm kwa hap dodoma Kuna jamaa mmoja namuonaga yeye anazunguka na vitoto vidogo kawavalishq vinguo vile vya karate na kuzunguka nao huku na huko wakijifanya anawafundisha mazoezi Ya kujiamiNamanga Islamic Centre ni kituo cha mafunzo ya siasa kali na mafunzo ya mapigano(KARATE, Judo, Taekwando n.k) kilichokuwa chini ya Dini ya Kiislam katika Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha.
Kituo hiki ni cha pili kufungwa baada ya kile cha Dodoma ambapo mabinti wasiopungua 150 walikuwa wamefungiwa kituoni na kupewa mafunzo mbalimbali ya kidini.
Vituo vyote viwili vimefungwa rasmi na kamati za ukinzi na usalama za Mikoa na Wilaya husika kwani vipo kinyume na utaratibu na vinatishia usalama wa nchi.
Hali kama hii ilikuwa nchini Nigeria ambapo serikali iliacha pale ilipokuwa ikipewa taarifa kuhusu mafunzo yanayotolewa na Boko haram kwa vijana wa nchi hiyo. Madhara yake ni kuanzishwa kwa kundi la kigaidi la Boko Haram lililosumbua na kuharibu usalama wa nchi ya Nigeria.
Hapa Nchini, kulitokea vuguvugu za itikadi kali na ugaidi kule Pwani pamoja na Mtwara. Sisi kama watanzania, tuna wajibu wa kutoa taarifa kuhusu vyuo au vituo hivi vinavyotoa mafunzo ya mapigano na itikadi kali.
Mimi kama Mtanzania, ninaanza kukitaja kituo cha mafunzo ya mapigano na itikadi kali kilichopo kwenye Msikiti wa Ipogolo pale Iringa Manispaa pamoja na Msikiti uliopo kwenye Kijiji cha Kitayawa njia panda ya Nyabula Wilaya ya Iringa Mkoa wa Iringa.
Misikiti/Vituo hivi hufundisha vijana wa kiislam itikadi kali na mapigano na mara nyingi kama unaenda kule Nyabula toka Iringa Mjini, utakuta vikundi vya vijana hao waliovaa kanzu na viremba kichwani wakitembea kwa miguu na wakifanya mazoezi.
Naamini JF ni Platform kubwa nchi hii, kutaja kwako vituo hivi vitasaidia kulinda usalama na amani ya nchi yetu. Ewe mwana JF, funguka kwa ajili ya Mama yetu Tanzania.
Mungu ibariki Tanzania, Eeehh Mungu ilinde na itetee Mama yetu Tanzania.
Huyu nae ni terrorist sympathizerShikamoo Babu
Masuala ya ugaidi ni masuala ya ndani ya mtu. Kuna mtu, kavaa kanzu vizuri ila kimoyomoyo anatamani kumchinja mtu kichwa. Au anatamani kuua makafiri, au kujilipua katikati ya watu. Hivyo ni vigumu kumtambua.
Ila hata Rais, alishasema kuwa kuna watanzania wengi kwenye vikundi vya magaidi.
Swali:
Je wale jamaa wa walikuwa wakiua watu Tanga, Kibaha, Vikindu, Mkuranga,Rufiji, Kibiti, Mtwara, hao wote sio magaidi? Au kwa mtazamo wako unawaona walikuwa sahihi kuua "Makafiri"?
Badala muwapeleke watoto mashamba wakalime nyie mnawafundisha kujiamiNgosha...
YMCA Dar es Salaam walikuwa na mafunzo ya karate na vijana wengi walihitimu pale na kuipata mikanda.
Nadhani na Don Bosco walikuwa na mafunzo kama hayo.
Mimi siwezi kuandika kama ulivyoandika wewe kuwa walikuwa wanataka kumpiga nani?
Karata na judo zina ubaya gani katika mafunzo yoyote?
Issue ni unajifunza wapi?kujifunza karate nayo shida kwa sababu waislamu, mkafiri wakijifunza ni mazoezi ya viungo, kumanina zenu makafiri
Uoga mtupu wa wakuristo, kwanini muislamu asiwe na gym ya mazoezi acheni uoga.The big big problem sio mafunzo ya karate Bali indoctrination wanayofanyiwa, halafu kama ni jambo zuri mbona wanafanyia gizani, tumwombe Mungu sana alete Nuru Giza litoweke, hawa wanaandaliwa kutengeneza fitna kwenye taifa na kutengeneza mfumo WA terrorism, itsfika wkt unaishi na Jirani yako ukijihisi upo salama kumbe anawaza namna ya kukuchicha.
Ukifiatlia sana hao wamiliki utakuta wamepata hizo elimu kwenye nchi ambazo ni purely Muslim na yenyewe yanakuja kuapply bila kuangalia mazingira ya hapa kwetuChuo hakijasajiliwa.
Chuo kinaenda kinyume na sheria za nchi na kukiuka haki za watoto kama vile kupata elimu rasmi.
Chuo kinafundisha "itikadi kali". Hatuna mipango hiyo, hili taifa ni secular na litabaki hivyo, hatuna haja ya kumchinja mkristo wala muislamu kisa sio wa dini mojawapo.
Hata ukisema ktk Quran kuna kila kitu kama mnavyosema
Geography,Physics,Chemistry,Mathematics lakini hakuna formula humo. Tutatengeneza taifa la wajinga,ingawa mpaka sasa ni taifa lenye upumbavu mwingi.
Iran, Iraq, Saudi kote wanafundisha science wanawajua kina Isaac Newton,Nichola Tesla na formula zao, na wanazitumia. Huko chuo/kituo wamekazana kuponda mifumo ya elimu na kuiita mifumo kristo.
Hata ziwe pande milioni hayo mambo hayakubaliki.Suala la kuwaachisha watoto shule lipo kwa pande zote mbili hata mwezi january kule mkoani Ruvuma nimeona DC amekamata wazazi kadhaa ambao pia ni viongozi wa kanisa fulani kwa kosa hilo la kuwaachisha watoto shule lakini sikusikia ukitajwa ugaidi lakini matukio yanayowahusu Waislamu yanakuzwa sana hata ukitokea uhalifu wa kawaida lakini wahusika wakiwa ni Waislamu basi tukio hilo uzungumzwa katika sura tofauti kabisa.
Usichokijua kuna mkakati maalum wa kuwapaka matope waislamu na Uislamu kwa ujumla kwa lengo la kuutokomeza Uislamu na Waislamu unaosukumwa na chuki,
Ebu fikiria wale masheikh Wazanzibar waliokaa mahabusu kwa miaka nane kosa lilikuwa wakipinga Muungano lakini wakatengezewa kesi ya ugaidi na kuambiwa eti wao ndiyo walikuwa wakiendesha vitendo vya kuhalifu dhidi ya viongozi wa dini ya Kikristo.
Lakini naona wengi humu mnang'ang'ana kwamba hayo mafunzo ya karate yalikuwa yakitolewa msikitini sijui mmetoa wapi wakati habari inasema ni chuo(Madrasa) lakini kwa sababu ya chuki watu wapo tayari kuongopa ili kutia chumvi zaidi ili lengo litimie.