Wee mzee acha udini, hujakatazwa kuabudu au kuswali, tatizo lenu mnafikiri nchi lazima iendeshwe Kwa Sheria zenu za kiislam na yeyote asiyeamini ni kafiri na hastahili kuishi, acheni ujinga na msilazimishe Imani zenu Kwa wengine
Nilikuwa Chuo wakati Fulani nikifanya History ya Afrika Mashariki.
Tulikuwa na Mwalimu Mwenye Siasa Kali.
Lilipofika swali la utamaduni wa Mwafrika katika Nyanja za Ibada, nilieleza. kwa uchache.
"Jamii mbalimbali za Kiafrika zilikuwa na Tamaduni zao za Kidini na Ibada. (Dini ni kipengele cha Utamaduni) Zilikuwepo na zipo bado, kulikuwa na Dini na Ibada mbalimbali katika kila jamii ya Kiafrika
Mfano baadhi ya Majina ya Mungu katika Jamii za Kiafrika.
Kilima-Njaro = Mlima wa Mungu.
Kikabila chetu Mungu tunamwita Chapanga = Mpangaji wa Mambo yote.
Na kueleza kuwa Ukristo na Uislamu haukuweko kama Dini katika Utamaduni wa Mwafrika ni Dini tulizoletewa toka Nje "
Huyo Mwalimu alinipa alama chache sana na kunieleza kuwa Afrika tulikuwa na Utamaduni na sio Dini kabla ya Wavamizi na Wakoloni. Nia yake ni kueleza Dini ya Kweli ni Uislamu tu. Ni kwamba Waafrika kabla ya hiyo Dini walikuwa na imani zisizoeleweka na sio Dini.
"Kumbuka Kuna Aya inasema Dini ya Haki mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu tu" (Qurani)
Mwalimu alielewa hivyo tu kuwa ndio ukweli.
Linapofika swala la Dini kwa baadhi hawa wenzetu hata awe Profesa, akili yake inakufa ganzi kabisa.
Msimshangae huyo Msomi ni mmojawapo wa hilo tabaka.
Kesha athirika na Dini ya Haki na hawezi kufikiria tena nje ya Box.
Kichwani mnajieleza kwa uchungu Mkubwa sana sana. (kumbuka neno sana sana)
Kwanini wanaofuata Dini ya Haki yaani Dini ya Kweli hawathaminiwi na wananyanyaswa na wako tabaka la chini?
Kwa mtazamo wa Kweli wanatakiwa kuwa tabaka la juu kwakuwa wana Dini ya Kweli na Baraka za Mola wa Ukweli.
Pilato alipo mwuliza Yesu Kristo swali katika Yohana 18:38.
Kweli ninini?
Yesu hakumjibu.
Na ndio lilikuwa Jibu sahihi wakati ule kwa Pilato kwakuwa Kweli ni Swala mtambuka sana.
Kila mtu anaweza kuwa na Kweli yake ambayo sio Kweli ya mtu mwingine.
Pia kweli ya leo huenda isiwe Kweli ya kesho.
Nadhani huyo Msomi Bado hajaielewa hii dhana ambayo inamwumiza sana moyoni mwake.
Dhana ya Dini ya Kweli katika Nyakati hizi.