Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Wajinga hao wamekazana na mpira wakati karate nin rafiki yangu kachukua mkanda china ,wengine wanaishi nje kwa ajili ya mchezo huo.Tuweke udini pembeni
Je Watanzania hawapaswi kujifunza karate na judo? Je mbinu za kujilinda ni kinyume na sheria za nchi? Hizi tahariko tunazobabatizwa nazo kila mara kwa jina la ulinzi na usalama, kwa nini serikali isipeleke mamluki wake hapo nao wakajifunza hayo mafunzo ili kuyachuja kama ni hatari kwa jamii? Naona badala yake ni hizi Kamati za Ulinzi na Usalama zimejikita kwenye kupambania taharuki kuliko kutumia weledi na akili kudeal na haya mambo
Kwa hiyo basi wafungie gym na sehemu za kujifunza boxing🤣🤣🤣