Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

Wajinga hao wamekazana na mpira wakati karate nin rafiki yangu kachukua mkanda china ,wengine wanaishi nje kwa ajili ya mchezo huo.

Kwa hiyo basi wafungie gym na sehemu za kujifunza boxing🤣🤣🤣
 
Mimi kama Mtanzania, ninaanza kukitaja kituo cha mafunzo ya mapigano na itikadi kali kilichopo kwenye Msikiti wa Ipogolo pale Iringa Manispaa pamoja na Msikiti uliopo kwenye Kijiji cha Kitayawa njia panda ya Nyabula Wilaya ya Iringa Mkoa wa Iringa.
THis one, i know. Kwa mara ya kwanza nimefika pale 2003..nimekikuta pia 2022
 
Hapo Afisa Tarafa na Mtendaji wa Kata husika wanapaswa kuhojiwa kwa nini shughuli hizo zimeendelea eneo hilo unnoticed hadi Kamati Ya Ulinzi na Usalama Wilaya kugundua?

Mtendaji wa Kata ndiye mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama wa Kata.
 
Chuo kama hicho pia kipo Igunga karibu kabisa na shule ya msingi chipukizi nyuma ya kanisa katoliki yaani wamejengewa madarasa kama ni Mara yako ya kwanza kufika hapo utajua ni shule ya sekondari but jengo la msikiti mkubwa lililiopo humo ndo litakupa maswali, yaani hata upite SAA nane usiku utaona pilikapilika hawalali, sasa unajiuliza hawa watoto huu ni umri Wa kuwa darasa la sita,saba na sekondari sasa hapa wanafanya nini? Na wapo zaidi ya 300, na wanaohitimu hupelekwa wapi???? Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Igunga chini ya mwenekiti mkuu Wa wilaya mama mchapakazi Tafadhali chukua hatua hawa watoto warudishwe shule wengi bado walipaswa kuwa shule za msingi hili wanalofundishwa ni fundamentalism na si dini hawa wanafundishwa kuwa magaidi Wa kesho, komesha hili kama ulivyokomesha wale makahaba waliokua wanajiuza Barbara ya mwanzugi
 
Taasisi za kidini na mafunzo ya Mapigano hapana. Kamati za ulinzi lazima ziwe na taharuki kwa sababu huko kwenye mapigano ya waislam yalianza kama haya. Tuna mifano mingi sana wa haya. Cha kujiuliza kwa nini yanatamalaki kipindi hiki cha mama?
 
Wanakuwa inspired na Barbarosa.
Mambo ya akina Bab aOrju
 
Umeongeo vizuri sana mkuu.
 
Wanaacha shule nchi nzima du..kweli waislam na wakristo wa Tanzania ni maadui ila
hujifanya ndugu. Mazoezi ni kosa bongo haya fuga tanbi lako ushushie na manyama ya kondoo.
Kwa nini yasiwe mazoezi ya mpira au riadha ila mapigano?Kuna uhusiano gani kati ya uislam na mapigano?Kwa nini iwe vituo vya kiislam tu ndo vinatoa aina moja ya mazoezi?
 
Ila binafsi naona kufundishwa karate ama judo sio kosa ila kinachotakiwa kufanywa na vyombo vya ulinzi ni kufuatilia dhima ama lengo lililopo nyuma ya mafunzo hayo, kama ni kwa kujilinda haina shida ila kama ni kwa ajili ya kudhuru watu wengine kwa kigezo Cha Imani basi hilo ni kosa kubwa sana
 
Ila wanahistoria nao wanatupiga chabga la macho. Utasikia Africa had the same level of development as Europe bybthe 15th Century.

Evidence utasikia presence of Early Universities. Uliza sasa ni zipi. Utasikia in Timbuktu and Kumbi Salehe, there were early Universities. Sasa hapo unaweza kudhani hizo ni kama Oxford au Edinburg kipindi kile. Wapi Bwana, kumbe ni madarasa ya kufundisha Qurani.
 
Niliwahi kusema humu siku moja. Haya malalamiko ya akina Mzee fulani na Bibi fulani humu yanaakisi harakati fulani zilizofichika. Ukisoma wanachoandika kwa jicho la tatu utayaona haya. Basi hizi taasisi ziko kila mkoa na ni mkakati maalum.
Soon ya Panya road wa kiislam yataonekana
 
Kuna upuuzi mwingine tunautaka wenyewe

Kuna ulazima gani wa kufundishana karate tena misikitini?

Wakati huo kushakuwa na dhana mbaya juu ya hilo

Kuna ulazima gani wa kuwaachisha watoto shule??
Wakati wao wanaachishana shule na kufundishana kareti misikitini wenzao wa dini nyingine wanajifunza masomo ya kimagharibi yenye kutoa ajira. Mwisho wa siku wanakuja kuusingizia mfumo Kristu
 
Tatizo wanatafutiwa nyumba na mashekh kwenye Ile mitaa yenye waswahili wengi. So utakuta viongozi wote wa mtaa pande Ile ni Muslim
Sasa wanapewa vihela ...wanageuka ATM za mashekh
 
DP WORLD"kimkakati zaidi"
 
Unadhani Kuna aya inasema watu wafundishane karate misikitini?

Kuna watu Wana maslahi binafsi na hilo wanalofanya

Kikubwa wadhibitiwe
asili ya karate ni japan,kung-fu ni china,taikwondo korea,boxing amerika,,,,,uarabuni hamna asili ya michezo hii,zaidi ya upanga
 
Msako mkali uendeshwe nchi nzima kubaini vyuo hivi, na kuvifunga haraka sana, mifano ipo mingi kwa nchi mbali mbali, pia wananchi watoe taarifa kila wanapovibaini vyuo hivi.
 
Martial arts ni sanaa njema sana kama endapo itatumika kwa wema na ustarabu ila ikichanganywa na nimehemko ya dini au siasa huwa ni hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…